Hoseah: Chenge ana kesi ya kujibu

Hoseah: Chenge ana kesi ya kujibu

Chenge ni lazima atashinda hiyo kesi kutokana na aina ya kosa analo shitakiwa, mchezo wa kitoto wa dr hosea
 
Uliona shida gani kusubiri yatokee ndo utujulishe, kuliko kupotosha habari kwamba Chenge Kortini wakati anayeamua au kutoa kibali cha kufungua kesi hajafanya hivyo? Unajua kwa DPP kuna majalada mangapi ambayo yamefikishwa huko na watuhumiwa wake hawajafikishwa mahakamani?
 
Uchunguzi umeshakamilishwa na Takukuru, jalada liko mezani kwa DPP punde anapanda kizimbani.
Mkuu, nimeangalia uchambuzi wa magazeti naona kila Gazeti imeandika kivyake, tapitia Mwananchi nadhani litakuwa limeandika vizuri
 
Uliona shida gani kusubiri yatokee ndo utujulishe, kuliko kupotosha habari kwamba Chenge Kortini wakati anayeamua au kutoa kibali cha kufungua kesi hajafanya hivyo? Unajua kwa DPP kuna majalada mangapi ambayo yamefikishwa huko na watuhumiwa wake hawajafikishwa mahakamani?

Mkuu vipi, utashiriki maandamano yenu ya jumamosi pale Dar, nasikia richmonduli atakuwa mgani rasmi.
 
Halafu mnasema Serikali ya Kikwete haifanyi kweli?
 
If one waste time to litne to Hosea, then he/she may waste time to visit Yusuph Makamba wherever he is kuchota busara zake
 
Watu hawa hawa waliodai hakuna ushahidi wa kumshtaki chenge leo wamepata ushahidi? Suala la Chenge kuwa na account ya pesa nje
ya nchi linafahamika toka mwaka 2007 inakuwaje leo ndio waone ni kosa na wafungue kesi??

Kuna maswali mengi sana kuliko majibu kwamba kwanini wanakataa kuunganisha hizo pesa za aacount yake ya nje na manunuzi ya radara wakati pesa ziligundulika wakati SFO wanafuatilia issue ya RADAR na kuzigundua kuwa ktk sehemu ya pesa zingine zilikwenda kwenye account ya Chenge kuna kitu wanajaribu kukwepa hapa?

Swali lingine vipi kuhusu DR.Idrisa Rashid mbona hawaunganishwi pamoja kwa sababu pesa zingine zilitoka kwenye account ya Chenge dola laki 6
kwenda kwenye account ya Idrisa how come yeye afunguliwi mashtaka??
 
Chenge kwishnEeeee hapo hachomoki kuthibitisha jinsi alivyopata hizo senti hata akijumulisha ngombe wote wa ukoo kijiji chake na wilaya yake bado hawafikii samani hiyo kwa mujibu wa kifungu hicho cha pcca ni rahisi kwa hela na mali nyingine mtu kuweza kujitetea ila ukidanganya unalo tena na kosa jingine ila kwa hela za chenge jawezi thibitisha hata kama alianza kufanya biashara akiwa vidudu bado haifikii thamani hiyo!!
 
Halafu mnasema Serikali ya Kikwete haifanyi kweli?

Duh!!!!! yaani huyu Kikwete kazi yake ni kusimamia kesi zisizoanza wala kwisha, lakini inapokuja suala la ukosefu wa umeme ni Ngeleja.
 
Go slaa tumeona role yako,ingawa mwanzo walikubeza
 
Halafu mnasema Serikali ya Kikwete haifanyi kweli?
wanatengeneza kiini macho hawa kwa sababu swala la chenge walilomfikishia nalo mahakamani linafahamika toka 2007 na pesa hizo zilitokana na issue ya radar kwanini wanakataa kuunganisha na swala zima unapodai ushahaidi hakuna una maana gani wakati pesa hizo zilitumwa kwenye wakati huo huo wa mgawo wa pesa za radar? kwanini rashid hajaunganishwa naye kama kosa ni kuwa na account ya nje kwani ktk hizo pesa kwa mujibu wa hao hao SFO zilitoka zingine dola 6 kwenda kwenye account ya rashid sasa kwanini wasiwaunganishe ktk kesi hii kwa pamoja wakati
wamefanya makosa kwa pamoja na makosa yanayofanana? hapa wanajaribu kutengeneza kiini macho ili wamsafishe chenge mbele ya jamii na wao pia kujikosha kwa watu na pia kuwatuliza wabunge wa chadema waliomkomalia chenge.
 
Si huyu huyu Hosea alisema Chenge amekutwa hana hatia sasa leo imekuwaje tena. Naona hiki ni kiini macho tu. On a different note: Kuna mahali nimeona baadhi ya wabunge wa JMT waliowakilisha wenzao kudai mabaki ya Radar wanapongezana kwa kushinda madai yao huko Uingereza akiwemo (Cheyo- UDP na Zungu- CCM). Sijaelewa walichoshinda nini hasa. Hiki kitu ni headache tupu.
Soma tena post#1, tuhuma za Chenge sio za rada, ni kuwa na mali zaidi ya kipato halali!
 
The questions is,given the current political enviroment will DPP act or will he sit pretty?
 
Jana katika mkutano wake na wahariri mjini arusha, mkurugenzi mkuu wa takukuru edward hosea, alibahinisha kuwa katika uchaguzi mkuu wagombea wa chadema, walikuwa wakishiriki katika vitendo vya rushwa lakini takukuru ilishindwa kuwakamata kwa kuhofia kuwa wangeweza fanya maandamano nchi nzima ya kuvuruga amani...ni kiwa mtanzania nimesikitishwa sana, hivi kweli kiongozi mkubwa kama hosea anaweza kutamka upupu kama huo jamani...yani chombo huru kama kile kinaweza kufanya kazi kwa kuogopa watu?uongo huu si mzuri hata...hasitafute pa kujitetea kazi imemshinda
 
ile petrol station ya ridhiwan pale sinza kwa remmy,imecost millions za walipa kodi,..lord have mercy
 
Chenge ni msukuma,Hosea ni msukuma, DPP Feleshi ni msukuma na DCI Manumba ni msukuma. Hapo lazima yatapelekwa mashitaka dhaifu ili hatimaye mahakama imsafishe mzee wa vijisenti. Hiyo ni karata tatu.

hapa nimeelewa kilicho fanya kuwe kimya Mkuu hivi AC naye ni miongoni mwa wana mtandao wa 2005??
 
Chenge ni msukuma,Hosea ni msukuma, DPP Feleshi ni msukuma na DCI Manumba ni msukuma. Hapo lazima yatapelekwa mashitaka dhaifu ili hatimaye mahakama imsafishe mzee wa vijisenti. Hiyo ni karata tatu.

Naishangaa tu hii analysis yako! What a coincidence? Hata hivyo siafiki sana hoja za ukabila. Suala la Chenge (aka Mzee wa Vijisenti) ni mwendelezo wa utawala mbovu wa JK; uongozi wa kishkaji. Full stop! Ushahidi ni suala la Jairo linalouza magazeti sasa. Kama suala la Jairo lingeshughuliwa ipasavyo sasa hivi isingekuwa news. Na ni hivyo hivyo kwa suala la Chenge. Halikushughulikiwa ipasavyo lilipopaswa kushughulikiwa.
 
sasa na wewe kinachokushangaza hapo ni nini? ulitegemea aseme nini? kama sio chadema angewezaje kusema ccm wametoa rushwa na wakati yeye ameteuliwa na rais mwenyekiti wa ccm kuwa hiyo nafasi aliyonayo unataka akale wapi? police? hakuna hosea bila ccm hakuna ccm bila hosea.
 
Back
Top Bottom