Najua umesikia huu msemo kuwa siku imegawanyika mara 3, masaa 8 ya kazi, 8 ya kupumzika na 8 ya kulala.
Swali: Ni kazi Gani hiyo unayofanya ambayo inaweza kulipa gharama zako zote za masaa 24 kwa kuifanya masaa 8 tu?
Matajiri hawalali kama Wewe, unapoamka asubuhi unawakuta wameshafanya maamuzi...