SoC02 Lala kwa saa nane

Stories of Change - 2022 Competition

Kaaya10

Member
Dec 11, 2017
37
50
Najua umesikia huu msemo kuwa siku imegawanyika mara 3, masaa 8 ya kazi, 8 ya kupumzika na 8 ya kulala.

Swali: Ni kazi Gani hiyo unayofanya ambayo inaweza kulipa gharama zako zote za masaa 24 kwa kuifanya masaa 8 tu?

Matajiri hawalali kama Wewe, unapoamka asubuhi unawakuta wameshafanya maamuzi tayari Ya hiyo siku.

Masaa nane ni 33% ya muda wa siku. Sasa uniambie unatumia mbinu Gani 33% ijitoshe yenyewe na Ile 66% uliyopumzika na kulala.

Ukiwa umelala wanafanya maamuzi ya bei za bidhaa, ukiamka zimepanda unalalamika.

Mithali 24:33 Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi!

34 Hivyo, umaskini wako huja kama mnyang’anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha



Endelea kufuata ushauri wa daktari lala masaa nane Kwa siku.

Kumbuael Yesaya Kaaya 0769160382
 
Back
Top Bottom