Recent content by Kaambali

  1. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Reuben Ndege kavae viatu vya jasiri uingoze njia

    Hicho si cheo cha Shaffih?
  2. Kaambali

    JamiiForums Tanzania First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

    Ongezea hapo banking and finance IFM wapo vizuri kuliko UD
  3. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Enzi zako weekend kama hii ulikuwa unawaza kwenda kiwanja gani?

    Pamozi Mbeya
  4. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Chuo cha mipango Dodoma!

    😁😁 prospectus
  5. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Poleni wazazi ambao watoto wenu wamekosa vyuo

    Unaelewa cutting point zilivyo na zinavyohesabika muwe mnasoma guidebook mnaelewa,sio mnapply tu ili mradi afu mnakuja kulalamika huku,pia competition inaweza ikapandisha admission point ikaongezeka zaidi ya hapo,ni lazima ujitathimini mapema,MUHAS mtu mwenye two ya 10,kwenye MD na Pharmacy...
  6. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Poleni wazazi ambao watoto wenu wamekosa vyuo

    Sasa Md admission point huoni ni nane,au hayo macho vidonda
  7. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Poleni wazazi ambao watoto wenu wamekosa vyuo

    Cutting point inaanza kuhesabiwa kwenye masomo mawili,kama itahesabiwa kwa masomo matatu lazima waweke from 3 subjects,CCD kwenye cutting point ni 6,na sio nane,soma vzur guidebook mtabaki kuwalaumu TCU tu
  8. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Poleni wazazi ambao watoto wenu wamekosa vyuo

    Cutting point inatokana na masomo mawili CC ni 6 mkuu,uwe unasoma guidebook vizuri nyie ndo wasomi tunaowategemea
  9. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Poleni wazazi ambao watoto wenu wamekosa vyuo

    MD na Pharmacy cutting point ni 8,sasa mtu mwenye two ya kumi anafikaje iyo cutting point
  10. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Poleni wazazi ambao watoto wenu wamekosa vyuo

    Guidebook kasome,kusoma Muhas cutting point ni kubwa sana,sasa mtu mwenye two ana apply vp hapo,muwe mnasoma guidebook ya TCU vizuri sio kila kitu tunalaumu
  11. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Poleni wazazi ambao watoto wenu wamekosa vyuo

    Uwe unasoma guidebook,mtakuwa mnalaumu tu,two ya 10 hawezi kwenda MD labda akasome vyuo private
  12. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Kumuita Diamond msanii wa kimataifa ni kichekesho

    Vp mkuu una uhakika na chai?? Punguza uchawi
  13. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

    Kwani wakati unaolewa ukuyajua hayo? Walivyokuwa wanasema muwe mnaangalia familia za kuoa au kuolewa nazo ndo kama haya,kama uliwakuta wanaishi hivo na ukakubali kuolewa huna budi kuishi nao,labda kama maisha yalibadilika baada ya wewe kuolewa
  14. Kaambali

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokubaliwa UDSM 2019-2020

    Washaweka ingia tena
Back
Top Bottom