Recent content by kaachonjo

  1. kaachonjo

    Chunya, Mbeya: Rais ataka Tume ya Utumishi wa Mahakama ilete jina la Hakimu aliyemhukumu mlawiti ili apendekezwe kuwa Jaji

    Hivi huyo mhe. Ana uhakika ? Na kwa nini alohukumiwa bila kuwepo mahakamani. Vyombo vilishindwaje kumkamata na kumfikisha mahakamani ili asikilizwe kwa mujibu wa sheria
  2. kaachonjo

    Kweli Max Ndiye Yeye: Kwanini Sina Hofu

    naona watu wanalia lia tu, nendeni kwenye facts mjadili hoja ... sio viroja ! pamoja na vision nzuri ya jamii forums ila pia ina madhara iliyosababisha kwenye jamii yetu. nyie hamuwezi kujua hizi tuhuma zinazoibuliwa humu ndani zinatumia gharama kiasi gani za serikali kuzikanusha ? ni mangapi...
  3. kaachonjo

    Mpigie kura Rais Magufuli kwenye Forbes Africa Person of the year

    CAST YOUR VOTE FOR FORBES AFRICA PERSON OF THE YEAR 2016 BELOW: Michiel le Roux 1% Thuli Madonsela 2% Ameenah Gurib 1% John Magufuli 84% The People of Rwanda 12% Thank you for voting!
  4. kaachonjo

    Offer ya domain za. Com

    kama ajuco ndiyo the best you can use then ... itakuwa bado uko nyma sana. sioni designing skills hapo. ila pia naona uko vizuri kwenye color stylesheet. website imejaa wino mwekundu. anyway nikupongeze ila sina uhakika unaweza kushindana .
  5. kaachonjo

    Katibu Mkuu CHADEMA Dr.Vicent alaani tukio la Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo kuvuruga uwekaji wa jiwe

    ukitaka kuelewa maana ya neno uchochezi utalipata kwenye red text .... kwa hiyo kama hatufai tufanye nini sisi kama hadhira ? tumuondoe vipi kwenye jamii yetu ! na kwenye green pale juu ukimuita mtu ni mhuni kwa kutumia vigezo gani ? katibu mkuu tafuta kauli za hadhi yako ! haya waachie wabunge...
  6. kaachonjo

    Mkurugenzi Misungwi amdhalilisha mwalimu mbele ya wanafunzi wake

    anaye mdekia mwalimu huyo kwake huwa ni nani ? na hata kama iweje wanafunzi ni lazima waelewe kwamba ukiwa mwalimu kazi yako ni kufundisha sio kuwa juu ya wanafunzi ! sasa kama mwalimu anaona aibu kudeki mbele ya wanafunzi ni vipi atasaidiana na wanafunzi kuchimba choo ? mbona mkuu wa kaya...
  7. kaachonjo

    Offer ya domain za. Com

    kabla sijafanya biashara na nyie nina mashaka sana kama kampuni hii imesajiliwa tanzania na ni tataja sababu ila kama mmesajiliwa tanzania naomba utaje TIN number ya kampuni. kwanza web site yenu ni wordpress template ambayo nayo hamkuilipia mnaitumia visivyo halali na hamkuitengeneza nyie ...
  8. kaachonjo

    Rais Magufuli amteua Ndg. Waziri Kindamba kuwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL

    Dr kamugisha kazaura atapangiwa shughuli nyingine ---- naamini anayoiweza hizo nyingine awaachie vijana wafanye kazi tu
  9. kaachonjo

    National Information and Communications Technology Policy 2016

    Sera mpya ya taifa ya ICT jana ilijadiliwa na sasa imeanza kufanyiwa kazi na kutekelezwa. Naamini huu ni mwanzo wa kuja na sheria mpya ya TEHAMA ambayo kwa sasa inawagusa watu wengi zaidi nchini. Kulingana na sera hii mpya ya TEHAMA changamoto zinazojitokeza katika sekta hii adhimu zimeajwa na...
  10. kaachonjo

    Kilio cha Maalim Seif chafikishwa UN

    tabia ya matamko na waraka zinaendelea .... haaaha aaa sisi tuendelee na kuijenga zanzibar yetu yaliyopita yamepita tuondoe changamoto za wazanzibar wa leo na kizazi kijacho
  11. kaachonjo

    Taarifa kwa Umma kuhusu wakuu wa mikoa kuingilia elimu

    siasa haziishi ? hebu fanyeni kazi, macheni mkuu wa mkoa afanye yale yaliyo kwenye uezo wake.ukweli ni kwamba iwe walimu wako halmashauri au serikali kuu !wote ni watumishi wa umma. na wako chini ya mkurugenzi kama walivyo madiwani na meya pia.
  12. kaachonjo

    Msaada wa mawazo: Nimetengeneza Instagram ya kibongo

    umtumia muda gani kuifanyia research hasa usability demands? na pia what makes instarg better than yours ni kwamba kwanza yenyewe insta ina watumiaji wengi kuliko hii that means alot for a social network. mengine ni lugha inayotumika. chagua kama unatumia kiswahili stick with kiswahili kama ni...
  13. kaachonjo

    Sheikh Ponda: Furaha imetoweka, tutafakari upya

    mwambieni mama samia amesema wasome alama za nyakati, zama hizi bilakutoka jasho lako mwenyewe ujue huwezi kudumu. vyeo havisaidii tena nchi zaidi ya kufanya kazi na ukajituma na ukaiheshimu kazi yako. mwambieni zama zimebadilika sio kama za yule aliyetangulia
  14. kaachonjo

    Kuwa na kompyuta Korea Kaskazini unahitaji kibali cha polisi

    Nchini Korea Kaskazini ili uweze kumiliki computer unahitaji kibali cha polisi na hivyo basi unatakiwa kuandika maelezo ya ni kwa nini uruhusiwe kumiliki computer. Vipi hapa Tanzania? Huduma ya internet inapatikana tu kwa viongozi wa juu wa kisiasa nchini humo, wanafunzi wa vyuo vikuu, na...
Back
Top Bottom