Recent content by Kaabad

  1. Kaabad

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Ingia web browser na search kissasian.sh hapo utakutana na dramas zote zilizotajwa humu Don't hunt what you can't kill.
  2. Kaabad

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kissasian.sh Don't hunt what you can't kill.
  3. Kaabad

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Nacheki online mkuu Don't hunt what you can't kill.
  4. Kaabad

    Hivi kuna watu wanalia kisa mapenzi

    Hujapenda wewe, tambua kila mtu ana wakati na siku yake, hata playboys muwaonao hukamatika nakuwa mazuzu, inshort ni hivi hakuna mtaalamu wa mapenzi. Don't hunt what you can't kill.
  5. Kaabad

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Ikiisha ITAEWON CLASS next week kuna another series itaachiwa inaitwa RUGAL, check youtube trailer. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kaabad

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Sasa huu uzi wetu kimekuleta nini mkuu?? Au ndio thinking out loud ??! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kaabad

    Honestly, Hakimu Mkuu Simba amekuwa 'fair' sana kwa Mhe. Mbowe na wenzake

    Mkuu nipe full info, aligonga maeneo yapi??! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kaabad

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Nikisikia neno " STORI INAANZA HIVI...." napata ganzi aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kaabad

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    kdrama zingibe zilizopo youtube kwenye chanel ya SBS WORLD ni DEAR JUDGE nayo ni among the best kdramas na zingine nyingi mtachagua hapo wenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kaabad

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] pamoja sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kaabad

    Text ilitaka kuniua

    Kintompyo ndio jina lake?? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kaabad

    Text ilitaka kuniua

    Inaonekana unakutana na wanaume wangajingaji [emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kaabad

    Ukaribu wa Diamond na Wasanii wa Marekani waliochuja una tija yoyote kweli kwa Taifa?

    Mkuu muombe radhi Alicia halafu kwa info Swizbeat is a producer same as kina Timberland and Dr. Dre ambao kwa sasa ni producers, sijasema wanafanana level ukumbuke hilo but nin producer hata kama hawafanani, na isitoshe kuchuja Swizbeat hakumaanishi Mond naye atachuja, hao ni music legends mkuu...
  14. Kaabad

    Wakuu nimeibiwa

    Mkuu pole kwa janga hilo, nakushauri ufokasi kutafuta solutions for paying the bills e.t.c Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kaabad

    Wakuu nimeibiwa

    Mkuu mtoa mada ni She muwie radhi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom