Hizi nadharia za KIBINADAM chini ya mioyo ya KIPINZANI shida kweri, napata shida kujuwa ukweri hasa juu ya MATUKIO HAYA kama kweri hao BOKO haram wanapigania DINI hata hiyo jihad KAMA inatamaraq HAIRUHUSU KUWAUWA wanawake labda wawe sehemu ya WAPIGANAJI, vilevile HAIRUHUSIWI kuwa na wafungwa wa...
IWAPO PEPO ingekuwa inatolewa na SERIKALI ama MAONI ya watu, WENGI washaingia na wengi HAWAIPATI lakini suala la pepo MPIMAJI SIO serikali bali ni muumba sisi TUTAMKE Innalilah Wainaillah Rajiuunn na kama SERIKALI ISHAUNDA PEPO NA MOTO WAKE hapa duniani JERA na MAGOROFA, washamaliza huko...
Kaka wewe unajuwa sana kusimulia tena mfaswaha ila HEBU LETE HOTUBA YOTE na uchambuzi wake mwenyewe prf LIPUMBA, ili tuone mbona nawe una nukuu vipengele tena kwa KIFUPI sana ili UTUPOTOSHE, alafu LIPUMBA hajazuia wachumi BORA ZAIDI YAKE KAMA WEWE kutoa michango ya vipi hiyo serikali3 iende...
Hata miye nimeona kuwa Lipumba KAKOSEA maneno haya SASA ningewashauri WATANZANIA wenzangu tukagombee UENYEKITI wa CUF, kwasababu hizi kura za jamii forum kwenye uchaguzi wa CUF hazihesabiki yaani KAZI bure, najuwa sisi sote jamaa hatumuwezi kwa sifa ila kwa hili LA udini kama KAWAIDA YETU...
Pigapiga siasa bila kujuwa hapa, nyie mlikuwa mnadai ni chama cha KIISLAMU tuambieni inchi gani ya jiislamu IMETANGAZA RASMINI kuozesha wanaume watupu au kujifanya manajua hapa wote tunajuwa kuwa CDM ni CCM-A so mnatafuta pablicity hamna lolote...
WENJE, KUHUSU HOJA YAKE YA KUKIHUSISHA CHAMA CHA WANANCHI (CUF) NA USHOGA,ALIFANYA TAFITI AU ALIMEZA KAMA KAWAIDA YAO CDM ? HEBU someni ukweri kuhusu itikadi kisha tunasibishe vyama vyetu hapa NCINI...
REJEA YAKO:
Oxford Manifesto 1997
The Liberal Agenda for the 21st Century:
The Liberal...
Kama CDM ni chama cha upinzani kinampinga nani? CCM au CUF, naona mashabiki wake wanashambulia CUF hawa SIO WAPINZANI! Ishu ya serikali ya umoja wa kitaifa tumeshuhudia ZIMBABWE, KENYA na nchi kibao za AFRICA tena kenya kupitia hiyo serikali ya umoja wa kitaifa wameweza angala kufanya uchaguzi...
Watu wanaongea mengi kwa kukurupuka au kufikili kwa kutumia miguu, hebu wekeni CV za hao wanao tegemewa kugombea hiyo nafasi tuone nani bora? hivi wajuwa kuwa MAALIM SEIF-phD, JUMADUNI-phD, achana na sifa bwerere za uzoefu wa siasa za nchi hii tangu WAHAI WA BABA WA TAIFA. Hii nchi ni yetu sote...
hi ndo maana ya uhuru wa maoni(KUSEMA UONGO) na hi ndo maana ya uchochezi(KUSEMS UKWERI,KWAUSHAHIDI WA VITENDO NA KAULI-reiea, dk.sivalon)? amani NI yetu sote iwapo wanadhani KUWADHIBITI WATUFULANI WAO WATAISHI KWA AMANI sio KWERI. KULINDA na KUDUMISHA uadilifu NA HAKI ndio ufumbuzi wa amani...
hi ndo maana ya uhuru wa maoni(KUSEMA UONGO) na hi ndo maana ya uchochezi(KUSEMS UKWERI,KWAUSHAHIDI WA VITENDO NA KAULI-reiea, dk.sivalon) amani yetu wote iwapo wanadhani KUWADHIBITI WATUFULANI WAO WATAISHI KWENYE AMANI sio kufanya uadilifu inasikitisha saana KUMBUKENI WANA JF, libya, ilalaeri...
Walio sikia marudio ya kipindi na kutajwa 'CHADEMA' wangapi? au ile neno CHAMA FULANI inamaanisha chadema wacha kutaka umaarufu ndio maana wenye kufikilia tunasema kisa MFUMO! Kwakuwa viongozi fulani wamedai RADIO & TV IMAN imani vinaleta uchochezi hivyo vifungiwe, uhochezi wenyewe hapa sasa ni...
Walio sikia marudio ya kipindi na kutajwa 'CHADEMA' wangapi? au ile neno CHAMA FULANI inamaanisha chadema wacha kutaka umaarufu ndio maana wenye kufikilia tunasema kisa MFUMO! Kwakuwa viongozi fulani wamedai RADIO & TV IMAN imani vinaleta uchochezi hivyo vifungiwe, uhochezi wenyewe hapa sasa ni...
Kwanza redio imani HAWAJA TAJA JINA LA CHAMA rejea kipindi leo kuanzia saa 3, nionacho mimi hapa
1. kweri jamiforum ni chadema kwanini ikiwa wamesema inamilikiwa na chama fulani jamaa umepaniki
2.kama cama hakipo kwanini fikra ziende huko kwa chadema not nccr, ccm, cuf,or any...
3. hebu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.