candind scope, unachanganya mambo Sana mkuu, kiukwel wale wanakijiji waliamishwa enzi za nyerere, na si mwinyi, chuki ya wanalituhi ilijotokeza kutokana na hilo na kubaliana nawewe, lakini ikumbukwe mareheme mzee gama, aliwasaidia pia Kama Una data ulizia miaka kazaa baada ya kuamishwa Yale...