Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
haha yap nimeona unaweza ukagoogle ukishindwa soon ntaleta muda si mrefu
hii app ishafika kwa lumia?
haha yap nimeona unaweza ukagoogle ukishindwa soon ntaleta muda si mrefu
hii app ishafika kwa lumia?
Inagoma hii!!
mkuu njunwa wamavoko mbna hii yako nikijaribu kurun inasema app has crashed
wengi mmekua mkirequest hii feature sasa kwa wale wa android kuna solution ambayo ni hii app.
PROOF
![]()
kama kwenye picha inavyoonekana kuna msg za saa 6 na dakika 32 lakini still last seen ni na dakika 18. ina maana unaweza set muda unaotaka mwenyewe watu wakuone last seen.
NAMNA YA KUINSTALL
1. install official whatsapp, kama unayo hamna haja
2. unistall official version
3. install wahtsapp+
4. enjoy moded whatsapp
NAMNA YA KUHIDE LAST SEEN
1.nenda page ya chat ambapo contact unazochat nazo zinaonekana
2. bonyeza menu halafu click hide online status
mod nyengine
app hii ina mods nyingi tofauti na kuhide online status ku activate utaona strange icon nyeupe kwa juu iclick. utaweza kuchange vitu hivi
1. kuchange rangi za kila eneo kuanzia header, hadi background
2. kudownload themes za whatsapp
3. kutuma file la zaidi ya mb 16
4. kuonesha status ya mtu mkichat
5. mengine mengi utayaona huko huko
link ya kudownload
Download Custom WHATSAPP
try at ur own risk
Sasa unamficha nani huu muda wako wa last seen? Kama tu 'last seen' ni tatizo je public parts(very few have private parts)?
kaka haiwezekani sababu api ya windows phone hairuhusu developer kufanya automatic setting hadi ufanye wewe mwenyewe.
na hata ikitokea developer akiweza kutengeneza basi ujue itakua inasumbua sana kila saa italeta message ya kukutaka ufanye kitu fulani.
kwahyo kwenye lumia yangu itanisumbua?
mkuu vitu vingine si vya kuhoji in public, not alone this forum. suppose niko online yeah but sihitaji kuchat perhaps am off mood na kuna watu wengine akionavtu upo online lazima akusumbue, how do u solve that problem?? hata hivo, hii ni for those who want it but i dont think if its wise to question the thread!!