Recent content by JWKRMM

  1. J

    Kupaka rangi nyumba kunahitaji kibali. Nani wanatunga Sheria hizi?

    rushwa rushwa rushwa rushwa rushwa sawa sawa na umasikini kwa wananchi na Taifa
  2. J

    Spika Ndugai awashukia wasomi nchini, asema anajua watamshambulia katika mitandao

    mbona wabunge wanjiita waheshimiwa inamaana binadamu wengine kama wakulima siyo waheshimiwa. Hao wajiitao waheshimiwa pekee yao wakati binadamu wote ni sawa haoni kama unashangaa zaidi. anajua PhD inapatikanaje? japo siyo lazima mtu aitwe injinia fulani lakini ni mbaya zaidi mtu kubagua watu...
  3. J

    Bodi ya Mikopo imefuata siasa katika kutoa mikopo na kusababisha matabaka

    Yaani walipa kodi wazuri ndiyo hawapaswi kuwa wanufaika wa mkopo wale wasiolipa kodi ndiyo wananufaika. Natural right logic hapa inakataa. Walipa kodi wazuri watoto wao wasome bure ili nawengine wajishughulishe na kulipa kodi. si sawa kabisa kufanya ubaguzi wenye sura hii.
  4. J

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    ahaa kumbe mpango wa kando unaye mmoja tu. basi sawa
  5. J

    Ukitizama Ulimwengu kwa jicho kali, Matambiko haya mawili YANAIFUNGA TANGANYIKA/TZ kuinuka

    Tabia ya wizi iachwe uone kama nchi hii haitaendelea. shida ni wizi kila mahali. wewe hujawahi kuiba mali ya umma? mimi sijawahi
  6. J

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    espy wewe una o wangapi ambao unawapanga?
  7. J

    Tuambie umesoma Chuo gani kati ya hivi?

    espy hizi emoji zinmaanisha nini naona kama laini za simu
  8. J

    Tuambie umesoma Chuo gani kati ya hivi?

    wewe philosopher acha kuwasanifu watu
  9. J

    Waziri George Simbachawene: Waliowashambulia wapenzi wakiwa faragha kwa madai ya kuwafumania wakamatwe

    nipo ila nipo busy sana sipati muda kuongea humu ila kwa sasa umeme unasumbua sana nashindwa kufanya kazi zangu ndiyo maana naonekana
  10. J

    Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

    utamaduni namba moja wa mwaafrika ni kutokuwamwaminifu. ndiyo maana hatueendelei kama nchi.
  11. J

    Ubadhirifu: Dkt. Mpango aagiza DED wa Nanyumbu, Hamis Dambaya asimamishwe kupisha Uchunguzi

    hivi katika mazingira haya wananchi watalipa kodi kwa moyo moja au kwa kinyongo?
  12. J

    Wizi kwenye Mataa ya barabarani

    hivi huko hakuna serikali ya kulinda watu na mali zao?
Back
Top Bottom