Waziri George Simbachawene: Waliowashambulia wapenzi wakiwa faragha kwa madai ya kuwafumania wakamatwe

Kulipa mahari, kuishi kwa mume au kutumuia jina lake sio vigezo vya kummiliki mwanamke, kama ni hivyo basi mwanamke hana haki ya kumfumania mume wake.
Ana haki ya kumfumania mume wake sababu na yeye yupo kwenye mkataba wa ndoa pia.
 
ila waziri ana hoja kwanini uhangaike na mtu wakati hakupendi mwisho aje kukuwekea sumu kwenye chakula bure kama mapenzi yameisha kila mtu achukue hamsini zake kusiwe na uhasama life is too short ishu nyingine ni kwamba umekuta namchakata demu wangu kwenye gari eti unani mind ntakuja kupiga mtu bastola siku moja
Hili ndilo ambalo lilinijia kichwani wakati nasoma title ya uzi ila nikashangaa mada ni tofauti kabisa!

Hii tabia inakera sana yani jamani, mtu anamla demu wake kwenye ndinga yake nyie mnamfanyia ambush ni utoto na tabia za kishamba. Hili ningependa waziri aliangazie kwa ukaribu!
 
Ukifumaniwa amani yote na ujasiri vyote vinatoweka.
Nakumbuka Kuna mzee mmoja huku Kimara alitumaniwa gesti na mke wa mtu. Mfumaniaji alikwenda pale na vijana wake watatu waliokua tayari kumvisha mzee shanga na khanga.
Mfumaniaji alimwambia mgoni wake apige simu nyumbani kwake amwambie mkewe (mke wa aliyefumaniwa ) alete milioni mbili au la mzee ashike ukuta.
Mbona mzee alipiga simu na hela kweli ikaletwa.
Mzee Sasa akabakia na kesi na mke wake.
Hahahahaha hio tamu sana kmmmk, ni fujo zisizoumiza ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Wizi ni kosa la jinai ambalo lina adhabu zake kabisa mahakamani, kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu sio kosa kisheria.
Hahahahah sio kosa kisheria ๐Ÿ˜‚ endelea kuwaza ujinga hivyo hivyo! Ukitaka kuamini sio kosa kamtombee mkewe huyo waziri halafu ajue dhahiri unamtombea uone nini kitakukuta
 
Waziri anatoa wapi Mamlaka ya Kutupangia Masuala yetu ya Faragha za Wapenzi wetu? Sisi huwa tunayaingilia ya Kwake?

Anakoelekea sasa huyu Waziri ni kutaka kutuambia kuwa Wanaume wanaowafanya Wapenzi wao Mabao mengi wayapunguze kwani wanazitesa 'Mbinye' zao.

Kama leo hii Tanzania imefikia kuwa na Waziri anayepoteza muda na Mambo ya Faragha za Kimapenzi za Watu huku akiyaacha au akishindwa 'Kudili' na Mambo makubwa na ya Kimsingi kabisa basi ni Hatari na huenda hiyo 'docket' husika ikawa imepata Waziri 'bogus' kuwahi kutokea hapo.

Yaani kabisa GENTAMYCINE nikufumanie 'unabanduliwa' halafu nisiiharibu kabisa 'reception' yako kwa Vichwa vyangu vya Meddie Kagere 'nimerogwa' au?

Tena hili Tamko la Waziri ndiyo limenipandisha Hasira kuna Mtu mpaka sasa hivi hajarudi na akirudi tu najua Kesho atahangaika kutafuta Hospitali ili akanunue Meno yake ya Bandia kwani aliyonayo ya Asilii naenda 'Kusepa' nayo mazima Usiku huu huu Kudadadeki.
Kumbe nawewe unagongewa mkuu ๐Ÿ˜…
 
Duuh! Huyu bwana yalimkuta miaka ya nyuma Dodoma hotel na mke wa mtu red handed ikamtoka 15M๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ leo kashikilia Bango lazima cheti.
Hebu tuwekeeni clip tumfukulie kaburi mheshimiwa ambaye naye ni mwanachama wa kugonga wake za wenzie
 
Mfano nimemtongoza mkeo barabarani lakini mimi aliniambia hana mtu then tukakubaliana kupeana mema,mimi kosa langu ni lipi hapo?
Hilo haliwezi leta madhara iwapo utakula mara moja na kupangusa mikono! Hawa wanaofumaniwa ni wale mtu anapiga kambi kwenye mbususu ya mkeo na kusababisha hali ya vita mjengoni kwako๐Ÿ˜… mke hakusikilizi wala anakuletea jeuri!
 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Geoge Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watuhumiwa waliowashambulia wapenzi wakiwa kwenye faragha wakidai kuwa wamewafumania.

Ametoa agizo hilo leo Agosti 6, 2021 jijini Dar es Salaama baada ya kuiona video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii ikionyesha kundi la watu wakiwavamia wapenzi hao na kuwadhalilisha.
View attachment 1883590
Nakumbuka story ya SINGIDA.....
 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Geoge Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watuhumiwa waliowashambulia wapenzi wakiwa kwenye faragha wakidai kuwa wamewafumania.

Ametoa agizo hilo leo Agosti 6, 2021 jijini Dar es Salaama baada ya kuiona video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii ikionyesha kundi la watu wakiwavamia wapenzi hao na kuwadhalilisha.
View attachment 1883590
Tabia hii ipo hata kwa polisi ili kujipatia pesa.
Wanavijana wa mtaani wanazunguka mitaani has a sehemu za wazi(open spaces) viwanja vya mpira wakiwakuta mwanamke na mwanaume wamesimama au wamekaa nyakati za usiku wanaongea yao,wanawakata kuwa walikuwa wanafanya mapenzi huku wakiwapia simu polisi wa doria.
Kinachohitajika hapo ni pesa



Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hamna fumanizi ambali sio la kupangwa sababu kinachofanyika kule faragha kinafanywa na watu wenye akili timamu na kwa mpango maalumu wa kificho!

Namna pekee ya kuweza kuwafumania ni ku trace mawasiliano ya hao wawili aidha binafsi au kwa kupewa taarifa na watu wanaokuzunguka! Mwisho wake ni fumanizi tu na fumanizi halina macho unaweza rekodiwa au kula kichapo tu
Mi nime quote maneno ya waziri tu, hayo mengine kila mmja anaamua nini cha kufanya na kukomaa/kuzikabili consequences baadaye.
 
Tuongee kikubwa, kumbe sheria ya faragha inaruhusu hadi kunyandua mbususu za wake za watu?

Ndiyo, ni watu wazima na wamekubaliana. Ikitokea umewashika, wapeleke kwenye vyombo vya sheria.
 
Unajua Kuna vitu vya msingi Sana yeye Kama waziri hatoki adharani kutoa kauli,Ila vitu visivyo na manufaa ya taifa mawaziri huwa wanatoa kauli.nawaza nawazaa lakini jibu sipati?

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu yaani tit4tat.

Unanishauri na Mimi nitafute mchepuko mke Wa MTU ili twende sawa na wife sio?
yeah no hard feelings enjoy maisha mkuu life is too short ukichanganya na haya ma covid utakufa hujafaidi hela yako
 
Tabia hii ipo hata kwa polisi ili kujipatia pesa.
Wanavijana wa mtaani wanazunguka mitaani has a sehemu za wazi(open spaces) viwanja vya mpira wakiwakuta mwanamke na mwanaume wamesimama au wamekaa nyakati za usiku wanaongea yao,wanawakata kuwa walikuwa wanafanya mapenzi huku wakiwapia simu polisi wa doria.
Kinachohitajika hapo ni pesa



Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
hiyo tabia ndio mwisho jana bosi wao ndio kaisha sema
 
Back
Top Bottom