Recent content by juve

  1. J

    JamiiForums Tanzania Best paying company in tanzania

    vip sumatra
  2. J

    JamiiForums Tanzania Vacancy! vacancy!

    thanks mkuu
  3. J

    JamiiForums Tanzania TRA-written interview

    Kama vigezo ndo hivyo mbona nina vigezo vyote na gpa zaid ya 4 lkn no call no letter.
  4. J

    JamiiForums Tanzania TRA-written interview

    vip wadau walioenda posta barua zipo kweli?
  5. J

    JamiiForums Tanzania TRA-written interview

    vip wadau mlioenda posta zipo barua kweli?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 23 february 2012

    JOB VACANCIES ACADEMIC POSTS UTAC is registered as a Higher Education Learning Instruction, located at JK Nyerere International Airport, registered under NACTE ,located at Terminal One Dar es Salaam. United Tanzania Aeronautics College Invites qualified Professors, associate...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ikiwa VETA wenyewe ni namna hii...

    nimetembelea website yao,no comment!ama kweli hii ndo Tanzania yenye hari mpya na kasi mpya ya kuelekeaa wap?Usishangae aliyepewa kaz ya kuitengeneza ni mtoto wa mkubwa,haya twede kazi wakuu..............!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 1/1/2012

    shukuran mkuu ubarikiwe katika mwaka huu mpya!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Karibu "Tule" Sikukuu - Mwibara - Bunda

    hiyo imekaa njema,tutakaribia wadau!
  10. J

    JamiiForums Tanzania new jobs

    Shukran mkuu,napongeza jitihada zako mungu akubariki mpaka ushangaeeeeeeeeeeeeeee!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na tigo kwa mnaoomba kazi...............

    Ama kweli tigo inaweza weka kauzibe? Lakini nina wasiwasi na airtel pia!
  12. J

    JamiiForums Tanzania New jobs 5 december

    kama unayo na umeicheki ni page namba ngap? be serious gays!
  13. J

    JamiiForums Tanzania New jobs 5 december

    Hakuna kazi iliyotangazwa na swissport mwananchi 5/12/2011,tusipost vitu bila kuwa na uhakika navyo watu wanashida na kazi tusipotezeane muda na pesa za applications kama huna uhakika na post usiiweke humu,mim gazeti hili ninalo hakuna hiyo vacancy!
  14. J

    JamiiForums Tanzania kwa wanao tafuta kazi zingatia

    ubarikiwe mkuu!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kibo training center.............

    Samahani wana JF,naomba kujua kilipo hiki chuo cha KIBO TRAINING CENTER hapa Dsm!
Back
Top Bottom