Kwa walioaply TRA barua za kuhudhuria written intervew zimeshatoka, interview itafanyika tarehe 26 msimbazi cente.[/QUOTE
jamani naomba kujuzwa,wametumia zile qualification zao za kuwataka waliomaliza 2011?

Hivi hapo TRA panalipa eeh?
vip wadau walioenda posta barua zipo kweli?
Wana jamvini!kwanza aslam alyekum. Mimi ni mmoja kati ya watu walioomba nafasi zile 40 za assistant customs officer.Kiukweli nilikuwa nategemena sana kuitwa kwenye interview mana nina vigezo vinavyohitajika.Juzi nilipoona hii thread kuwa tra wameshaita watu kwenye interview nilichanganyikiwa sana mana nilijua nishaachwa.Nikaenda posta lakini sikukuta kitu.Lakini jana hiyo hiyo nikapigiwa simu majira ya saa 11 jioni kuwa niende nikachukue barua pale tra leo.
My take.
Kwanza ambao hamjaitwa bado msikate tamaa mana process ya kuitwa ni bado inaendelea.
Pili,nasikia jamaa wameamua kupiga simu kwa kila aliyekuwa shortlisted,sasa incase ukapigiwa na ukasema kuwa wewe upp dar,utaambiwa uende pale tra HQ ukachukue barua ,au ukapigia lakini ukawa haupo dar or umepigiwa but hupatikani kwenye cm or hukupokea cm then wataituma straight kwenye box yako.
So wanajamvini msiwe na wasiwasi kwa kuona kuwa ushaachwa.Bado muda hupo.
Watabe ndo wa wapi? Mara wachagga saizi watabe, then mara GPA iwe kubwa. Which is which?
Afu tuambieni wanauliza nini uko....
kama huna 4.2 gpa, chuoni ulienda kufanya nn? vilaza nyie na bado mwataka kz tra na bot!
kama huna 4.2 gpa, chuoni ulienda kufanya nn? vilaza nyie na bado mwataka kz tra na bot!