Sasa kama cut-off ni GPA 3.9 and above (which means hata ikiwa 4.5 ni cut-off), maana yake nini, si hakuna hata mmoja aliyetakiwa? Mimi najua cut-off huwa ni point moja tu e.g 3.9, au walau ungesema "and below" japo bado si sahihi. Anyway, maybe walikuwa wanahesabu from below to above, wenye 3.9 and above wakawatema.Nimepigiwa leo asubuhi. Cut off ya GPA ni 3.9 and above only mdau
duuu najuta kutosoma vyuo wanavyotoa gpa kama njugu na 3.7 yangu ya udsm naonekana **** mhhhh
Nimepigiwa leo asubuhi. Cut off ya GPA ni 3.9 and above only mdau
We za nini??jaman naombeni mnisaidie majina ya borders za tanzania katika miji ifuatayo,baadhi nimeijaza
kwa mfano:
tanzania/uganda in kagera-MUTUKULA
tanzania/kenya in mara-SIRARI
tanzania/kenya in Arusha-NAMANGA
tanzania/kenya in Tanga-HORORO
tanzania/kenya in kilimanjaro-
tanzaniamozambigue in ruvuma-
tanzania/mozambigue in mtwara-
tanzania/malawi in mbeya-
tanzania/zambia in mbeya-
tanzania/zambia in rukwa-
tanzania/burundi in kigoma-
tanzania/burundi in kagera-
tanzania/rwanda in kagera-
CC wengine vyeti vyetu havionyeshi GPA points cjui itakuwaje (iaa) kama cut off ni 3.9
Acha uongo wewe, inaonekana hujui kutofautisha Transcript na Certificate unayopewa just a day after graduation. Mimi mwenyewe nimesoma IAA cheti changu kimeonyesha wazi kabisa GPA ya kila mwaka na mwisho kabisa Overall GPA ipo wazi kabisa. Fanya homework yako vizuri katika hili.
kama huna 4.2 gpa, chuoni ulienda kufanya nn? vilaza nyie na bado mwataka kz tra na bot!
hivi naomba kuuliza...ina maana hizi ambazo watu wanakwenda leo kwenye Interview ni post zote zilizoombwa au ni zile za Customs peke yake? Maana nina dogo langu home naona mawazo tele..
Ndg.MAJASHO.Uliza waliokwenda kwenye interview leo swali namba tatu liliuliza nin.At least kwa aliekua kaona nilichouliza kina maana basi atakua kafaidika.TUSIPENDE KUPUUZA SANA WATU.