Tahadhari na tigo kwa mnaoomba kazi............... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari na tigo kwa mnaoomba kazi...............

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kintiku, Dec 14, 2011.

 1. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Kama unaomba kazi mahali nakushauri usiweke namba yako ya Tigo kwenye barua yako au CV kama namba ya mawasiliano utakosa kazi. Nimeshuhudia live jamaa watano wanasema hawakupigiwa simu kutaarifiwa kuhusu usaili. Lakini ukweli ni kuwa walipigiwa simu, ila wote simu zao zilikuwa zinasema hazipatikani. Wao wanaseme hawajahi kuzima simu, maana wanategemea kuitwa kwa usaili sehemu mbalimbali.

  Hivi TCRA wansemaje kuhusu tabia ya Tigo/washirika wao kumtumia mtu meseji 20 kila siku kuhusu promosheni n.k.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dah,thats gud idea
  asante sana,si ajira tigo yaweza fanya umkose mke,endapo upande wa wakwe watarajiwa watakuita ukatoe mahari ghafla hupatikani!
   
 3. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kusema ukweli hii hali inakera sana, Ukimpigia simu mtu wa tgo ikisema haipatikani jaribu kurudia tena utaona badae inaita. Pia nyingi ziko kwenye voice mail na ukiwauliza wenye simu wanasema hawajaweak voice mail. Inaonyesha TIGO wameactivate hiyo huduma wenyewe.
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Aisee...!
   
 5. v

  valid statement JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  HICHO KITU NI KWELI KABISA...Tigo wapuuzi sana, mwanzo mimi nlidhani tatizo ni simu yangu.
  Nkabadili simu, kumbe tatizo ni mtandao wao.
  Mtu anakwambia nimekupigia ukawa hupatikani, kumbe ni li mtandao libovu..shhh''akskskgsgfsausf kabisa hawa tigo.
   
 6. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Sio tigo ppeke yao kwani mitandao mingi inaonyesha kwamba
  kuna tatizo la network na hivyo inaleta shida hasa sisi mishin town.
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  airtel nayo ni hivyo hivyo, sijui ni kwanini hawa tcra hawaweki standards kwa hawa service providers
   
 8. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Duh,hilo nalo neno!Watu tunasubiri tuitwe interview kumbe hatupatikani !
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  tiGo is a whole bucket of wet bullcrap, won't recommend it to anyone!!!
   
 10. korino

  korino JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  mama we! possible jamni mtu inawezekana umepigiwa cm kumbe hupatkani! du! tgo wamezdi bora hata mitandao mengine! kwanza cku iz ukieka ka mia tano umempigia mtu dakika tu kahela kamekwisha! lol
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Would you recommend Voda? Or you are too upset with Mwammy's splurging in Dubai?
   
 12. v

  valid statement JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  haah hah..teh teh teh
  mdau acha kucheza na brand name za watu....
  hah hah haaaaah
   
 13. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Voda is cool dawg, so is Airtel. As for "A-lists" convo, you know my steelo, am not the one to hate the playa!!
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  That's what's up!

  Hela zako mwenyewe..ukizitumia wengine wanakasirika! Wapi na wapi!
   
 15. N

  Ndamalishaz Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisaaa tigo haifai ive bn using tigo for over 6 yrs lakin ths tym thr too much nahamaaa,,!na ma.voice mail yao,,ma.xtreem sms yao kwel hawaelewek
   
 16. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  tigo mnakera sana
   
 17. m

  mob JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 509
  Trophy Points: 280
  hapa mleta mada alikuwa ana ujumbe tofauti ili kuufikisha akatishia watu.
   
 18. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hata sisi wengine tulionunua line za tigo kwa ajili ya matumizi ya tigo-pesa tu tunapata shida sana. Mara nyingi it takes too long kukamilisha huduma ya tigo-pesa. tigo management must do something about this anomaly.
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  tiGO imekua tiGO imepanuka Kazi ni Kwako Kutwanga Kote Kote au Kama unaweza Hamia tu
   
 20. j

  juve Member

  #20
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli tigo inaweza weka kauzibe? Lakini nina wasiwasi na airtel pia!
   
Loading...