kwa wanao tafuta kazi zingatia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wanao tafuta kazi zingatia

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by christer, Dec 5, 2011.

 1. c

  christer Senior Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  salaama watu wa Mungu.

  napenda kutoa ushauri wa bure kwa job seekers wote jinsi ya kuandika application na Cv zao.

  kwanza hakikisha unataja post unayo omba au kama haijatangazwa sema qualification zako katika mstari wa kwanza ili zionekane.
  pili katika Cv yako exeperience yako kama unayo, iweke baada ya personal data ili iwe rahisi kumatch na job requirements.achana na mambo ya field kwanza ,labda kama hujawahi kufanya kazi.
  tatu panga vyeti vizuri kutegemea na kazi inataka cheti gani mfano Diploma,weka cheti hicho baada ya Cv yako.
  ki ukweli kazi ikitangazwa watu wanaomba wengi sana kwahiyo upekuzi wa haraka unatafuta vigezo vilivyotajwa haraka ili kuanza kusoma vizuri. post 10 imagine application 600 utasoma kweli mstari kwa mstari?
  mwisho walio soma vyuo vya nje wahakikishe TCU imethibitisha vyeti vyao( kwa elimu ya juu).

  Nawatakia siku njema.
   
 2. k

  kishanshuda Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mkuu unataja vipi hiyo post , au hizo qualifications mstari wa kwanza, kama waweza tuwekee hata sampo ya mfano walau tuweze elewa zaidi plz.
  Thanxs in advance
   
 3. c

  christer Senior Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mfano;APPLICATION FOR THE POST OF ACCOUNTANT ktk head.
  i am interested in the above......,i have post graduate diploma in ....................,with 5 years experience in............................
  ,i have compt knoweledge in ............(.MS) na software nyingine unazojua.  kwa graduate hivyo hivyo sema ulichosoma. siyo mambo am single/married.... i went to x primary then to w secondary na sifa kibao
   
 4. f

  firehim Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ushauri mzuri sana. Ahsante ubarikiwe kwa kazi unayoifanya.
   
 5. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kitu kingine katika job experience inabdi ukishataja kazi uliyofanya na nafasi uliyoshika,basi uweke ni kazi(activities) gani hasa ulizokuwa unafanya
   
 6. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  duh mkuu safi!
  Ila inaonyesha jinsi gani post ya uhasibu ilivyo janga la kitaifa, umeitolea mfano.nukta
   
 7. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Tukumbuke kutokujaza maneno mengi yasiyo na msingi kwenye application letter/email. Be brief and straight to the point.
   
 8. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ime2lia mkuu!! safi sana.
   
 9. d

  david shayo Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na kwanaoomba udereva inakuwaje?ushauri boss
   
 10. j

  juve Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ubarikiwe mkuu!
   
 11. M

  Mpigania haki Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! Sante sana mkuu, bt je km ur fresh frm chuo na hujapata experiene na field hukuenda je? Kwny cv utaandika kitu gani sasa? Duh kila sehem experience experience wakati ht selikali haikutupa field cjui 2takua wagen wa nani! Au 2anzishe biashara tu? Mungu atusaidie na hii elim fake ya bongo
   
 12. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  exprience inatakiwa nayo iwekwe kwenye masomo ya chuo. Ili nayo pia ifundishwe.
   
Loading...