Ipo hivi kuna kijana ni mtumishi wa uma alikuwa anashukiwa kwa wizi, ijapokuwa ushahidi wote uliotolewa polisi ulithibitika hakuhusika, polisi wali amuru kesi hiyo itolewe polisi ipelekwe halmashauri ambako mshukiwa ameajiriwa, wazee wetu mnawajua, wakamshauri na kumlazimisha akubali kulipa...