M/Kiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dkt. Vicent Mashinji wakiwasili kwenye kikao cha kamati kuu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
M/kiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Freeman A. Mbowe (kushoto) na Katibu Mkuu, Dkt. Vincent Mashinji, wakiwasili kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kinachofanyika leo Alhamisi 18/01/2018 jijini Dar es salaam.

kamati kuu.jpg

kamati kuu2.jpg
 
Si tuliambiwa kuwa tuko amana?
Daah.
Walitaka kiki ya kuzima usajili wao uliobuma?
 
Mbona ccm mnashindwa kuwa na subira kikao cha CDM povu lumumba kama taifa tuna matatizo mengi acheni umbea shughulikieni matatizo
 
Kuna taarifa za wale wapuuzi walioshindwa siasa za hoja walileta hapa taarifa za uongo kuwa Dr Mashinji yuko Amana Hospital amelazwa ghafla naomba wapigwe ban ya kama mwezi hivi ili wajifunze siasa za masuala
 
Back
Top Bottom