Humphrey Polepole azungumzia hali ya kisiasa nchini; viongozi zaidi ya 20 kuhamia CCM Januari 18

Ndugu yangu Polepole najua unajua kwamba uimara wa chma (CCM) kilichopo madarakani hutegemea mno upinzani ulio imara. Hii biashara uifanyayo ya kudhohofisha upinzani ina matokeo hasi kwa chama chetu tawala. CCM itakuja kumeguka makundi makubwa mawili. ¡ kundi la wenye chama (kandambili)¡¡ kundi masilahi (laizoni). Siasa hizo unazofanya zilishapitwa na wakati. Yetu macho.
Hahahaa umenikumbusha katiba ya Warioba na katiba Pendekezwa!
 
Karibu tufuatilie, kipindi ni Msema kweli na mtangazaji Albert Kilala! Up dates: Mwenezi anasema vyama vya Upinzani havina itikadi wala sera.

Pili anasisitiza CCM kwa sasa ina takribani wanachama milioni 12.

Tatu kuna wabunge na madiwani wslioomba kwa barua kujiunga na CCM lakini wamewakataa kwa sababu ni mizigo.

Nne viongozi maarufu zaidi ya 20 wa Chadema kutoka mikoani na taifani watahamia CCM tarehe 18/01/2018 na amesita kidogo kuthibitisha kwamba miongoni mwao mzee Lowassa yumo lakini mtazamo wa sura yake umeonyesha huenda akawemo!

Chanzo: Channel ten
Mbona inajulikana tarehe 18 lowasa anahamia ccm pale Ikulu
 
AFRICA kuja kupata ukombozi wa kifikra itachukua mda sana. Mm nazani tukiacha siasa uchwara sizani km tutafika popote maana tumeacha kupambana na vitu vya msingi tunapambana na wapinzani km wao ndo wanazuia maendeleo .Hapa dar tu maji safi ni shida umeme,huduma za afya,jiji ni chafu na vijana wengi hawana ajira leo unakuja kuniambia eti diwan fulani anahamia chama gani jamaan hiyo inasaidia nn kwa mtanzania alie kosa ajira hebu timizeni ahadi na ilani ya chama siasa tuiache tujenge inchi yetu.
 
1. Mzee Kingunge lazima atarudi kwenyue chama chake ambacho hakiwezi kutenda kinyume chake
2. Mzee Lowassa pia lazima atarudi tuuuu maana hakuna atachopoteza kwa sasa anajua ndoto ya Urais umeshakufa.

Hao ndio wale wa Kitaifa.
Na mashinji anakuja ccm
 
Hapana mkuu ni wabunge na madiwani wanaomba wenyewe kuhamia CCM tena kwa barua na kama mtabisha ushahidi utatolewa hadharani!

We kwel hujielewi, sada hso wabunge wakisharud ndo mtatuleteaaji maji safi, Au. Polepole nae akiri sijui zimekwenda wap
 
Humphrey mwambie mwenyekiti wako the whole country wamehamia ccm, you gota stop that shity and start tha progress of building our nation! uchumi unaporomoka, demokrasia iko ICU, raia hosptalin wanakufa hakuna dawa, wakulima wanaumia na mazao no makert and still ur kiping disturbing us with ur fuckin viongoz wanahamia ccm?? hell you
 
Mnawanachama milioni 12,lakini mnapigiwa kura na wanachama 876 jimbo ambalo approximately CCM inasema inawanachama zaidi ya 100,000.Any way hongereni

Za kuambiwa changanya na zakwako. Kumbuka nchii hii 52% ni kuanzia 15 to 64 Age. sasa basi kama leo tupo 58Mil then 52% ni 30Mil. so hawa ndio wanaweza kuwa wanachama, kama CCM ina 12Mil then MACCM ni 50% ya Adult population ya nchi hii. N ahuu ni uongo Mtakatifu, Maana hata kura alizopata Magufuli pamoja na uchakachuaji ni 8Mil, ina maana wanachma wa CCM waligoma kupiga kura 2015 ?
 
Chadema tubadilike ccm wanaanzisha mada njaa Ili tusahau kuzungumzia maisha magumu ya mtanzania mada Kama hizi tusiwe tunachangia
Katibu Mkuu wa Chadema,Bw.Mashinji aliongea vizuri saana kwenye Clouds 360 jana asubuhi.Mwenye clip hiyo tafadhali tuwekee ili wengine nao wamsikilize.The guy went to School in the real sense
 
Za kuambiwa changanya na zakwako. Kumbuka nchii hii 52% ni kuanzia 15 to 64 Age. sasa basi kama leo tupo 58Mil then 52% ni 30Mil. so hawa ndio wanaweza kuwa wanachama, kama CCM ina 12Mil then MACCM ni 50% ya Adult population ya nchi hii. N ahuu ni uongo Mtakatifu, Maana hata kura alizopata Magufuli pamoja na uchakachuaji ni 8Mil, ina maana wanachma wa CCM waligoma kupiga kura 2015 ?
Umesahau?!!.....80% ya kura za Lowassa zilitoka kwa wanaccm, ndio wale waliokatwa mikia!
 
Huu ndio mwisho wake wa kufikiri, maliza kununua 'viroboto na kunguni' ila ujue kamwe hamtaweza kuua upinzani kwani upinzani ni nguvu ya mungu dhidi ya yule 'aliye kinyume nae'.
 
Za kuambiwa changanya na zakwako. Kumbuka nchii hii 52% ni kuanzia 15 to 64 Age. sasa basi kama leo tupo 58Mil then 52% ni 30Mil. so hawa ndio wanaweza kuwa wanachama, kama CCM ina 12Mil then MACCM ni 50% ya Adult population ya nchi hii. N ahuu ni uongo Mtakatifu, Maana hata kura alizopata Magufuli pamoja na uchakachuaji ni 8Mil, ina maana wanachma wa CCM waligoma kupiga kura 2015 ?

Unajua rafiki ukitaka kumuadhibu Mpumbavu jibu kama Mpumbavu,ndiyo sababu nimemjibu kwamba basi wanamatatizo kama wana wanachama 12milion Tanzania nzima,na approximately 100,000 halafu wanapigiwa kura na wanachama less than 8% basi wakajitafakari mawili watanzania hawaitaki CCM hata kuiona au wameususia utawala uliopo.
 
Karibu tufuatilie, kipindi ni Msema kweli na mtangazaji Albert Kilala! Up dates: Mwenezi anasema vyama vya Upinzani havina itikadi wala sera.

Pili anasisitiza CCM kwa sasa ina takribani wanachama milioni 12.

Tatu kuna wabunge na madiwani wslioomba kwa barua kujiunga na CCM lakini wamewakataa kwa sababu ni mizigo.

Nne viongozi maarufu zaidi ya 20 wa Chadema kutoka mikoani na taifani watahamia CCM tarehe 18/01/2018 na amesita kidogo kuthibitisha kwamba miongoni mwao mzee Lowassa yumo lakini mtazamo wa sura yake umeonyesha huenda akawemo!

Chanzo: Channel ten
Asije kuitwa mpumbavu jukwaani
 
Back
Top Bottom