Ushauri: Kuhusu hukumu ya kesi ya wizi wa kukota

John360

Member
Feb 17, 2018
8
45
Niliangusha hela 350000 Kuna jamaa ameokota hiyo hela 350000 alafu kakataa kwa kusema ameokota 30000 mashaidi wapo waliomuona akiokota hela kesi IPO mahakamani naombeni ushauri jaman kwa maswali ya kumbana huyu jamaa
 

John360

Member
Feb 17, 2018
8
45
Kesi gani hapo wakati unasena ameokota?
Ni kweli ameokota hiyo hela sababu mashahidi walimuona kipindi anaokota na walipo mwambia apeleke polisi au kwa kiongozi wa eneo husika aligoma,mashahidi walilipoti polisi baada ya kupata taarifa nilifungua kesi kwa maelezo yake alikubali mbele ya polisi kwamba kaokota 30000 na sio 350000 Mimi ndio nilioangusha hiyo hela,kama aliokota maana Mali sio yake yaani amefanya wizi WA kuokota kwa kugoma kutoa taarifa sehemu husika???
 

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,959
2,000
Duh, pole yako but kuwa makini sana ujitahidi kujenga hoja na hao mashahidi wawe wanajiweza maana hiyo kesi usipokuwa makini ni vyepesi sana kukushinda hata kama ungekuwa ulimuona but pole kma ni mtu ambaye unamfahamu wala hata usingemshitaki maana malipo ni hapa hapa kwa Magufuli kabla ya jua kuzama
 

John360

Member
Feb 17, 2018
8
45
Hakuna kesi hapo
Kwa hiyo ukiokota Mali ya mtu na usitoe taarifa eneo husika na watu walikuona kipindi unaokota na wakakushauri ukakaidi hilo sio kosa.Sababu wizi ni kuhamisha kitu chochote kile kinacho amishika kwa lengo LA kukiiba
 

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Jan 2, 2014
4,586
2,000
Ni kweli ameokota hiyo hela sababu mashahidi walimuona kipindi anaokota na walipo mwambia apeleke polisi au kwa kiongozi wa eneo husika aligoma,mashahidi walilipoti polisi baada ya kupata taarifa nilifungua kesi kwa maelezo yake alikubali mbele ya polisi kwamba kaokota 30000 na sio 350000 Mimi ndio nilioangusha hiyo hela,kama aliokota maana Mali sio yake yaani amefanya wizi WA kuokota kwa kugoma kutoa taarifa sehemu husika???
Pumbavu....iyo inaitwa abuse of due process!
Sasa hapo kuna kesi gani labda ...wizi wa kuokota???
Ni section ngapi ya penal code??

Yani mtu kaokota halafu awe mwizi tena??
Unajua tafsi ya "mwizi" kwa mujibu wa sheria??
 

justine lowasa

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
727
1,000
Ipo hivi kuna kijana ni mtumishi wa uma alikuwa anashukiwa kwa wizi, ijapokuwa ushahidi wote uliotolewa polisi ulithibitika hakuhusika, polisi wali amuru kesi hiyo itolewe polisi ipelekwe halmashauri ambako mshukiwa ameajiriwa, wazee wetu mnawajua, wakamshauri na kumlazimisha akubali kulipa yaishe ili asije kurudishwa rumande,

Kutokana na woga na kutokujuasheria yule kijana alikubali kwakuweka sahihi ya malipo katika barua iliyo andikwa na afisa mmoja pale almashauri, sasa imefika hatua yule kijana ameshindwa kulipa na mdai wake anamsumbua sana, pindi anapopeleka huo ushaidi kwenye kituo chochote nchin yule kijana hukamatwa na kuwekwa ndani popote anapokuwa, sasa amechoka na anateseka,

Mimi nilikuwa pamoja nae mwanzo wa hili jambo hadi sasa na niko tayari kusimamia mahakaman kam shahidi wake maana nashuhudia hakika hakutenda ilo tukio sasa yeye ameamua kwenda mahakamani maana mdai wake hataki kwenda, Anaomba msaada kwenu wana JF manguli wa sheria je afanyeje au apitie hatua gani ili kufungua madai yake?

Maana anaamini kabisa ushahidi anao wakumvusha kwenye hili jaribuuu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom