Hawa watu nitawakumbuka daima kila litajwapo neno Democracy Tanzania; James Mwalusanya J, Rev. Christopher Mtikila na Tundu Lisu. They never went to law classes for their personal sakes, but to save their fellows.
Walotangulia mbele za Haki Mungu awalaze pema peponi, Amina.
Mungu simama...
Haya mambo yanahitaji upana wa fikra, tena fikra huru.
Kuna shule Shinyanga waligoma, tena kutaka tu mwalimu wao kipenzi arudishwe, hawakutulizwa na waalimu wala maafisa wa elimu, walichezea virungu vya polosi bila huruma. Hili mwandishe hakuliona maana ilikuwa awamu ya kwanza nae alikuwa...
Na mimi niandike kwa udhalendo na Tanzania yangu.
Suala hili wamepewa wasomi wa sheria.
Ukimpa mgogoro huu mwanafunzi wa sheria mwaka wa pili "International law, and or Investment Law" ili abaini tatizo na atoe ushauri wa kisheria, atatumia dakika 45.
Atakuwa ameonesha; tatizo lilipo, sheria na...
Muda utafika.
Mwenyekiti ni mchaguliwa wa wananchi. Mtendaji yupo pale bila ridhaa ya waongozwa, bado anataka awe kiongozi.
Huwezi ukamwongoza mtu bila ridhaa yake.
Tume ya Warioba walipendekeza; wakuu wa wilaya na mikoa wasiwepo, maana wanaongoza bila baraka za waongozwa. Bashite akiwa mpinga...
Hakuna hoja hata moja. Ndoa imara sio mali.
Kama itakuwa mali, ni wajibu wa mwanaume kuleta mali ndani.
Serikali zilizoamuliwa na Mungu injini yake ni UPENDO
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu kukosea huku kwa spelling kunaonesha jinsi uwezo wako ulivyo.
Makondo kwa kitendo alichokifanya sioni kwa nini awe na wafuasi wenye kutetea suala lile kwa upande wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anastahiri kupigwa gobole, awahi kwenye kiti cha hukumu.
Siasa zikezuiliwa hadi 2020, hata hilo yakulisikia???!!!!
Katiba imezuia Rais kutawala zaidi ya awamu mbili, hata yenyewe hajaisoma?!!! Na bado anataka azunguke nchini akiwa na huo ujinga ulokubuhu?
"We" must protest his...
The biggest bad luck you have you are even not aware of. It is to be a ccm follower, the devilish party where people corrupt and say "Tumeibiwa sana".
A reasonable man and good lucked one would ask himself "who real authorized the Acacia investment contract in Tanzania?"
The answer was then...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.