Kamwe sitajutia kura yangu as long as niliweka mahali sahihi, kamwe sitaacha kupiga kura as long as naenda kuiweka mahali sahihi. Lazima niwape kazi ya kuiba kura, nisipopiga kura mimi wataiba kura ya nani, kwahio unataka washinde kiulaini, lazima jasho liwatoke, wanafanya talling mpaka...
Kama unafutilia vizuri utagundua Kata/Majimbo ambayo ukawa WAMESHINDA matokeo yake yanasuasua kutangazwa na wahusika. Mfano jimbo la Tandahimba wameshinda ukawa lkn wahusika walijizungusha kutangaza matokeo lkn mgombea wa ukawa alisimama kidete na watu wake mpaka matokea yakatangazwa na akaibuka...
So Jide yeye alichagua mali badala ya watoto, na chameleone yeye alichagua mali badala nini? Na masharti yaliyomfanya Bushoke akimbie ni masharti gani hao?
The bold umegusia CARTEL mmmmh, ndo mwanzo wa ss kukosa hot-hot na kukukosa ww. Tumwangie fastaaaa kabla hawajakudaka maana km mboga ndo imeshamwagika, na hao waliozama pm wamwange hapa fastaaa tuwajue.
Kumbe kweli Ba Riz anawajua ila anaogopa kuwataja!!!!! mwemweeeeee Ma Mchungaji wangu!!!!
Nimepita leo maeneo yake ya kujidai, nimekuta vijana wanamsifu, "Mheshimiwa leo kaongea point tupu". Nikagundua kumbe vijana wanapinga kazi at the same time wanafuatilia bunge!
Hili swala la kusema michepuko haiepukiki ndo linalosababisha na upande wa pili kuchepuka. Busara zinatakiwa sana ktk swala hili, heshima kwa mkeo ndo kitu cha msingi.
Ww binadamu gani usiejali hisia za mwenzako, umemuuza kihisia na bado unaenda kumuongeze maumivu ya mwili pia, wakati kosa ni...
naona una bifu na akina tambalamit
Kutapeliwa inatoka wapi hapa tena wakati unakuwa umekubaliana na mteja wako.
Jaman hodi! kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
Mi nafikiri mtoa hoja anamaana nzuri tu ya kutusaidia na sie wengine tusipigwe.
Ila neno alilotumia ndo laweza kuleta mkanganyiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.