Hizi ndio kauli za mh.SUGU

Hizi ndio kauli za mh.SUGU

Nimepita leo maeneo yake ya kujidai, nimekuta vijana wanamsifu, "Mheshimiwa leo kaongea point tupu". Nikagundua kumbe vijana wanapinga kazi at the same time wanafuatilia bunge!
 
Mh Sugu ni JEMBE! Pamoja sana kamanda, endelea kukaza kitanzi cha serikali 3 mpaka magamba wasalimu amri.
 
Back
Top Bottom