Recent content by Justdr

  1. Justdr

    How come a Professional Doctor wa MOI awe mganga wa kienyeji? (Kisa cha mganga wa kienyeji wa Chasimba)

    Mtoto alipona kwa operation au baada ya mizimu kuongea akawa amepona instantly
  2. Justdr

    Kwanini wanawake wanapenda sana harusi kuliko ndoa yenyewe!

    Hahahhaha 😀😀🤣🤣 Tengeneza uzi wa hii topic ,nimeipenda sanaa hiii
  3. Justdr

    Kwanini wanawake wanapenda sana harusi kuliko ndoa yenyewe!

    Wanawake emu njooni hapa mtuambie kipi kinawafanya mpende sana shughuli/harusi kuliko ndoa yenyewe? Binafsi kuna wanawake kama 5 nishawashirikisha hili jambo, na nilikuwa nikiwaambia hivi langu "nataka nikuoe tufunge ndoa ila kusiwe na harusi hata ikiwepo iwe ya kifamilia tu, watu wasiwepo...
  4. Justdr

    Technology: Mifuko ya uzazi bandia inayotengeneza watoto, wanawake hawatabeba tena mimba. Wazazi kuchagua jinsia,rangi,akili urefu wa watoto?

    Mwanateknolojia wa kibaolojia na mtayarishaji wa Filamu Hashem Al-Ghaili anatupeleka kwenye ziara isiyotulia lakini ya kuvutia ndani ya EctoLife - kituo cha kwanza cha uzazi wa mpango EctoLife ni teknolojia itakayowapa wazazi wa siku za usoni njia mbadala inayodhaniwa kuwa salama zaidi ya...
  5. Justdr

    FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

    That's what we call future impossible tense
  6. Justdr

    Je, homa ya ini inatibika kwa mitishamba?

    Kwamba mimea aina chemicals ? You sure?
  7. Justdr

    Je, homa ya ini inatibika kwa mitishamba?

    Kama unajua right dosage ya hizo mitishamba na side effects then it's okay. Ila dawa nyingi za kienyeji zinaua figo, ini etc kwa sababu right dosage haifaamiki.
  8. Justdr

    Je, homa ya ini inatibika kwa mitishamba?

    Majibu ya vipimo vya hepatitis kuna utalaam wake jinsi ya kuyainterpret. Yeah ni kweli 100% mitishamba inaua figo though siyo yote.
  9. Justdr

    Je, homa ya ini inatibika kwa mitishamba?

    Kama una majibu ya vipimo alivyofanya recently tuma tukusaidie kutafisiri. Maana kinachoonekana hapa ni ameishapona. Usingaike sana na hizo dawa za kienyeji utaua figo.
  10. Justdr

    Ulitumia dawa gani kutibu vidonda vya tumbo?

    Hiyo inaitwa GERD(Gastroesophageal reflux Disease)
  11. Justdr

    Je wajua unaweza kuambukizwa VVU/UKIMWI hata kama uliyefanya naye ngono zembe umempima na majibu yamekuja Negative?

    Yes ,ELISA inauwezo wa kumtambua hata kama yuko window period. But this is not routinely done na hospital zinazofanya hicho kipimo Tanzania zinaweza zisifike Kumi.
Back
Top Bottom