Karibu tusali pamoja usiku huu

Karibu tusali pamoja usiku huu

Wale wote mnaoteseka na maradhi au ndugu zenu wamelazwa wanateswa na maradhi tofauti tofauti karibu tusali pamoja jioni ya leo bado tumaini lipo mambo yatarejea kama zamani haya ni mapito tu ya kidunia Mungu wetu wa mbinguni ni mwaminifu na anajibu kwa wakati sina mashaka kuhusu hilo
 
Wakati mwingine unakuwa jobless sababu shetani amekufunga kwaiyo wewe popote pale unakosa kibali hivyo ni vyema kuomba kibali kutoka wa Mungu wa mbinguni
Mungu muweza wa yote, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na huyo shetani?

Mungu mwenye kujua yote, Hakujua kwamba Shetani huyo atakuja kupotosha wanadamu amdhibiti mapema?

Huyo Mungu yupo kweli?
 
Wale wote mnaoteseka na maradhi au ndugu zenu wamelazwa wanateswa na maradhi tofauti tofauti karibu tusali pamoja jioni ya leo bado tumaini lipo mambo yatarejea kama zamani haya ni mapito tu ya kidunia Mungu wetu wa mbinguni ni mwaminifu na anajibu kwa wakati sina mashaka kuhusu hilo
Mungu huyo mwaminifu, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na hayo maradhi?

Badala yake, Maradhi yapo na yanawatesa, kuwaumiza na
yana ua hadi watoto wachanga wasio na ufahamu wala hatia yeyote ile ya kuteseka na magonjwa hayo..!!!

Huyo Mungu ni mwaminifu kweli?
 
Shalom Shalom taifa la Mungu

Ni usiku tena nawakaribisha katika maombi .Najua mliowengi mnapitia majaribu tofauti tofauti nawakaribisha kila mmoja mwenye uhitaji aandike ombi lake nayo itatendeka kama ulivyoomba.

Tufungue maandiko kidogo kitabu cha Mathayo

Mathayo 7:7-12 BHN

“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa. Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa. Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? Kama basi nyinyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: Atawapa mema wale wanaomwomba. “Yote mnayotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Hii ndiyo maana ya sheria ya Mose na mafundisho ya manabii.

Nawakaribisha tusali pamoja usiku wa leo.Kwa imani tunaamini maombi yetu yote yatatendeka wakati wa Mungu ndio wakati sahihi

Moods nimetafuta jukwaa la maombi nimekosa na nina hisi upako ndani yangu nikamwaga uzi hapa sebleni

KARIBUNI
Inshallah Mwenyezi Mungu (SW) atufanyie wepesi waja wake, Naomba uniombee pia usiku huu Mungu afungue milango ya Baraka na Amani katika familia yangu.
 
Mungu huyo mwaminifu, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na hayo maradhi?

Badala yake, Maradhi yapo na yanawatesa, kuwaumiza na
yana ua hadi watoto wachanga wasio na ufahamu wala hatia yeyote ile ya kuteseka na magonjwa hayo..!!!

Huyo Mungu ni mwaminifu kweli?
Maradhi ni mpango wa shetani
 
Shika ulichonacho. Shetani mwenyewe anajua moto lazima umlambe wewe ni nani?. Moto uwakao na kiberiti upo, ila mito ya ulevi na mabikra 70 hawapo.
Thibitisha uwepo wa huo moto na si mawazo yako ya kufikirika tu?
 
Shalom Shalom taifa la Mungu

Ni usiku tena nawakaribisha katika maombi .Najua mliowengi mnapitia majaribu tofauti tofauti nawakaribisha kila mmoja mwenye uhitaji aandike ombi lake nayo itatendeka kama ulivyoomba.

Tufungue maandiko kidogo kitabu cha Mathayo

Mathayo 7:7-12 BHN

“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa. Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa. Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? Kama basi nyinyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: Atawapa mema wale wanaomwomba. “Yote mnayotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Hii ndiyo maana ya sheria ya Mose na mafundisho ya manabii.

Nawakaribisha tusali pamoja usiku wa leo.Kwa imani tunaamini maombi yetu yote yatatendeka wakati wa Mungu ndio wakati sahihi

Moods nimetafuta jukwaa la maombi nimekosa na nina hisi upako ndani yangu nikamwaga uzi hapa sebleni

KARIBUNI

Amina.
 
Back
Top Bottom