Recent content by just-imagine

  1. just-imagine

    Natafuta mke

    Mimi ni kijana 30 years, nna kazi, ni mkristo, mweusi, mrefu natafta mwanamke/mchumba/mke....awe na sifa:- -mkristo/awe tayar kubadili dini kuwa mkristo kama yeye sio mkristi -umri uwe hauzidi miaka 33 -Awe tayar kuishi mkoa wowote kulingana na fursa tutakazozipata za maisha(asiwe mtu wa lazima...
  2. just-imagine

    Naulizia kama kuna mtu anajua dealer mzuri wa vifaa vya stationary

    Hello wakuu Kama kuna mtu anajua dealers wazuri wa vifaa vya offisini na Shuleni, (stationeries) ambao wanauza jumla, naomba aniunganishe nae /anipe mawasiliano yake. Asante
  3. just-imagine

    Nahitaji kupanda mlima Kilimanjaro - this November

    Hahaha...kwa nini mkuu???
  4. just-imagine

    Nahitaji kupanda mlima Kilimanjaro - this November

    Habari wakuu, Nahitaji kupanda mlima Kilimanjaro mwezi wa 11 mwaka huu, kama kuna mtu anaweza kuniunganisha na tour company/mountain climbing company ambayo ina gharama nafuu nitashukuru sana. Natanguliza shukrani. NB: Nipo peke yangu.
  5. just-imagine

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Mkuu toa solutions juu ya waliokubuhu kwenye hili jambo na wanataka kutoka huko
  6. just-imagine

    Wakaka mna nini lakini?

    There was no love in the first place....
  7. just-imagine

    Bora Corona iishe tugegedwe

    Mafuta sio kigezo cha kuupenda mwili
  8. just-imagine

    Nahitaji kusafirisha gari kutoka Dar kwenda Mwanza kwa kulipia kwenye magari makubwa

    Nlikuwa namuelimisha....asipende sifa za kuchekesha umati out of every topic.
  9. just-imagine

    Nahitaji kusafirisha gari kutoka Dar kwenda Mwanza kwa kulipia kwenye magari makubwa

    Asante sana mkuu. Let me re-think about it. Nlikuwa sijui in details ndio maana nkaleta hilo swala hapa JF. Asante sana kwa mara nyingine.
  10. just-imagine

    Nahitaji kusafirisha gari kutoka Dar kwenda Mwanza kwa kulipia kwenye magari makubwa

    Gari sio bovu ila kwa sasa natakankuisafirisha kwa kulipakia. Btw asante kwa the alternative you gave.
Back
Top Bottom