Recent content by jusan

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anafanya kazi zote za kijamii, mbali na kazi yake ya kufundisha

    Hicho kipindi cha hao maraisi angalau hali ya mwalimu ili badilika mpaka kuaminiwa na taasisi za kifedha.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anafanya kazi zote za kijamii, mbali na kazi yake ya kufundisha

    Aduiwa mwalimu ni mwalimu mwenyewe iko hivyo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anafanya kazi zote za kijamii, mbali na kazi yake ya kufundisha

    Mwalimu bado anasafari ndefu sana hususan kwenye nchi maskini kama zetu,kwani ndo kundi pekee linalo tolewa kafara ili mambo mengine ya kitaifa yaendelee ,hii ni kuwanyima nyongeza katika mishahara yao ,hakuna over time ,kiujumla hakuna maslahi ya ziada,ingawa kazi ngumu kweli kweli na ndo...
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya zamani

    Mmmh mtoa mada pole sana sio wote hawajiwezi wengine mbona tuko poa tu mamyy
  5. J

    JamiiForums Tanzania Antarctica bara lenye wanadamu wenye maarifa zaidi yetu

    Mmmh aseee ngoja waje wajuvi tutasikia mengi sana mana hii dunia we acha tu.
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi bila kufanya mapenzi hata hainogi....!!!

    Daa kweli mkuu ,umeweka mambo yote hadharani
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka na dada

    Duu kazi kweli kweli wanawake bwana mkiwa na jambo mnazungukaaa asee
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

    Mbona hakuna uhusiano
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

    Tupia vitu mkuu alosto kali sanaa
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

    Daa uni tag mkuu ukitupia mavituuz
  11. J

    JamiiForums Tanzania Story: Mtu chake...

    Sawa nishakuja
  12. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Nyumba Iliyojaa Dhambi

    We shunie mbona hivo ,usha anzisha uzi simulizi nyingine na hii je.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Story: Mtu chake...

    Muendelezo etii
  14. J

    JamiiForums Tanzania Story: Mtu chake...

    Wapi?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Story: Mtu chake...

    Kumbe hii story bado ina mwendelezo atii
Back
Top Bottom