Mapenzi ya zamani

Mapenzi ya zamani

Now days hata ma mazee wanapiga vitu vya Bob, huyu amepiga cha wapi jamanii
 
Mmmh mtoa mada pole sana sio wote hawajiwezi wengine mbona tuko poa tu mamyy
 
Jitukane tusi moja kwa niaba yangu

Hahahahahahaaa naona mods wamemsaidia kufuta na kubakiza sentensi moja tuu, usingewahi kumquote nisingejua kuwa aliweka reli ya hayo maneno looh.
 
Chuga hakuna men anayependa kumtunza lady labda ampe kipigo tu chakutosha ambacho sio cha raha karaha maana hajui kutumia zawadi aliyoipewa ndio moshi basi tu dunia hii wadada tunashida
 
bad tukaambiwa kitanda hakizai haram
zamani hiyo hiyo
Mke akipata mtoto wa kiarabu na wote nyinyi ni wazaramo wa Manelumango unaambiwa hata shangazi wa baba yako Bi Mwanauwanu alikuwa hivihivi.
 
Umeshasema ilikuwa Zamani....nowdays mambo yamebadilika
 
Back
Top Bottom