Recent content by Juru

  1. Juru

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Internet mtaani

    Ndugu vipi ulifanikiwa mimi nna changamoto kama yako
  2. Juru

    JamiiForums Tanzania External disk 500gb inahitajikaa

    Helloo nahitajii hii kitu kama kuna MTU anayoo njoo pm tuchongee, Nb. Njoo na bei ya kitanzania ilitufanyee biashara
  3. Juru

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii BVM

    We ndo uko na kichwa ngumu, acha kuita coz za watu rahisi, we unafikir unajuaa kila kitu...
  4. Juru

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii BVM

    Hakuna coz ngumu pale we ni kichwa chako ndo ngumu.
  5. Juru

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Dell Core i5 (RAM 4GB, HDD320)

    Condition iko VP na bei yakee
  6. Juru

    JamiiForums Tanzania Wauza laptop tukutane hapa

    Oyaa brooo ukoo pande zp kwanza
  7. Juru

    JamiiForums Tanzania Karibuni tusemezane lugha za asili

    Wakimbu tafadhar au anaee juaa Bax
  8. Juru

    JamiiForums Tanzania Anae jua Kabila LA wa kimbu

    Hello ndugu , Mimi ni mmoja wa asili ya kabila hili but nimekuliaa sehememu tofauti ambapo hawazungumzi hii lugha na hua na tamani sana kujua kuongea lugha yangu ambayo ni asili ya ukoo wangu, hivyoo naomba kwa yoyote anae jua kuzungumza au anaee jua ata kidogo basii naomba msaada ndugu yake...
  9. Juru

    JamiiForums Tanzania Sina pesa: Nauza laptop yangu bei sawa na buree hii yote ni shida tu!!

    Hahaha[emoji2] [emoji2]
  10. Juru

    JamiiForums Tanzania Wauza laptop tukutane hapa

    Ipoo hyooo ktuu bado
  11. Juru

    JamiiForums Tanzania Wauza laptop tukutane hapa

    Hata PM c mbaya
  12. Juru

    JamiiForums Tanzania Wauza laptop tukutane hapa

    Fanya kutuma picha zaid mkalii wang
  13. Juru

    JamiiForums Tanzania Wauza laptop tukutane hapa

    Laptop INA hitajika badget 300000, mnakaribishwa wenye Nazi.
  14. Juru

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mwenye Samsung grandprime plus au simu ingine inayo endana uwezo kama hyoo but iwe Samsung TUBADILISHAJE NA TECNO BOOM J8 NA NAONGEZA PESA KIDOGO, IWE HAINA TATIZO NB: CM YANGU PIA HAINA TATIZO INA MIEZ MI 5 TANGU DUKAN , MWENYE KUHITAJI BUSINESS ANICHEK.
  15. Juru

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

    WAP mazmbu au main
Back
Top Bottom