Wauza laptop tukutane hapa

Wauza laptop tukutane hapa

Niko na Lenovo intel inside nataka kubadilishana na mwenye hp co i5 7th gen..

PM
 
Apple Macbook 5,1 hdd 250 gb ram 2gb, processor 2.4Ghz
Os. OS-X El Capitan versio 10.11.6
fbe9369fbfca9427ff3331a143de050c.jpg
f00f74bd0550f36cce7edd565dc00c3b.jpg
0650003eca47c2606c5a4255604258ac.jpg


Mawasiliano
Email regnessboniphace@hotmail.com
Phone +255768014466
Unapatkana wapi mkuu
 
Habari wakuu
Nina laptop yenye sifa zifuatazo, nahitaji kubadilishana na laptop nyembamba 'slim laptop' yenye sifa zinazoendana nayo au zaidi. Kama itakuwa nzuri sana naweza kuongeza pesa kidogo
Aina: Hp elitebook 8540w
Processor: intel (R) core (TM) i5, M520@2.40GHz
Ram: 4GB
System type: 64-bit Operating System
HDD: 320GB
Mengineyo: mobileworkstation, nvidia quadro. Imetumika miezi minne toka niinunue, rangi yake ni silva nyeusi
Betri. Inakaa na betri kwa zaidi ya masaa matano
Sababu za kubadilishana. Nahitaji laptop nyepesi na nyembamba kwa sababu naona nzito katika kuibeba
Napatikana: Dar es Salaam
Mawasiliano: 0776334477/0755411455
ee3a26c143d841b0841caf3c55cb4c8c.jpg
2eafd76b08b42346e22dfb1ac8e220ac.jpg
bf9b0d467881eab8f30ddb8f57f11b20.jpg
 
MIM NAUZA DELL LATITUDE E5420

hdd 232 gb

ram 4gb

core i3

ina bluetooth, wi-fi

nb haina webcam

nimeitumia miez 6
nichek 0719 534 513
bei 350000
nina laki 2 hiyo naitaka nipigie 0654506515
 
Laptop INA hitajika badget 300000, mnakaribishwa wenye Nazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom