Wauza laptop tukutane hapa

Wauza laptop tukutane hapa

Laptop INA hitajika badget 300000, mnakaribishwa wenye Nazi.
ongeza hamsini nikuachie hii
eb9bba41a8490a6b8b5d0873915805a8.jpg


984026fe0e9be0da5a5fcb20772b554a.jpg
 
Poa kaniambia eti inachezea game zote ,nataka kununua hapa

Japo uzi wa last year ila RAM si kitu muhimu sana katika ununuzi wa pc mkuu siku nyingine ukitaka nunua angalia processer ni aina gani na si RAM ngapi maana unaweza ongeza utakavyo hata 16GB ila kama processor ni first generation bado pc haina maana yeyote
 
Dell E6400
RAM 2GB
SYSTEM TYPE 64-BIT OS

Inauzwa bei 270,000
Haina tatizo lolote
Ipo Dar es salaam
Pm ukihitaji
0798081ae8c1e7b8e825ee0cb7370a85.jpg
73ac9115248baaaa561e7ec509a062bf.jpg
 
Nina laptop yangu hp 15 d00sia. Inasumbua kama yupo fundi mzuri mbeya. Maana hapa nilipata fundi kazingua
 
Nahitaji PC.
HP
processor: 2.8 nakuendelea
Ram: 4 nakuendelea
Hard disk:500 gb nakuendelea
Core i5/i7
Charge (4-7hrs)
Operating system iwe x64-bit.
400k-450k
Nipo Dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom