Unapokuwa na serikali kama hii yetu, usitegemee chote kizuri kutoka kwake. Hawa wachina tumewapendelea na kuwapenda kuliko tunavyowapenda wananchi wetu. Mambo wanayoyafanya kwetu hakuna Mtanzani atadhubutu kuyafanya kule China. Kwanza sheria za kulinda wananchi wao ni kali sana. Jiulize ni...
Kama miaka zaidi ya 34 aliyotumika katika nchi hii hana cha kutuonyesha uraisi anautaka wa nini? Ni kama jimbo la Chalinze mtoto kutaka kuendeleza pale baba aliposhindwa.:flypig:
Unajua wanasema waliiua Tanganyika na kuibakiza Zanzibar ili kuzuia Zanzibar isimezwe ndani ya muungano. Waliimuliza na au walipata ridhaa ya nani kufanya hivyo? Sasa Zanzibar kwa miaka 47 hawachangii chochote kwenye muungano na bado watanganyika wengine wanashangilia na kupiga makofi. Muungano...
Katika nchi yetu inaonyesha Watanzania huwa hatuna uwezo wa kufikiri na kuamua mambo yetu wenyewe kama mtu mmoja mmoja ila tumewaachia watu wachache wawe wanaamua kwa ajili yetu. Baya zaidi huwa hatuna msimamo kwani leo mtu anaamini hiki, kesho akija mtu na kukushawishi unabadilisha mawazo...
Hii mingine mambo ni hayo hayo. Airtel wanajiheshimu kwa sasa.
Voda niliweka kifurushi siku moja baada dakika kila kitu kikawa kimelambwa:thumbup::thumbup:
Usitoe hiyo mimba kwani huyo ni mtoto wako. Mpe mama lishe ya kutosha, na kama unaogopa kunyonyesha zaidi basi mpe mtoto maziwa ya ng'ombe na vyakula vyenye lishe. Mtoto wa zaidi ya mwaka hawezi sumbua sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.