Recent content by Junior chelsea

  1. J

    JamiiForums Tanzania Bustani ya 'Eden' ipo nchi gani?

    Mbna wadau wengii huwa wanadema ni ngorongoro creator Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mashabiki watano wa yanga wamwagwa manoti kwa Toto Africa

    Daaah wametoa hzo pesa kwakuwa wanajua hakuna Wa kumfunga simba.. So wanajua kabsa pesa yao haipotei
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

    Baaaas simba tushachkua ubingwaaa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi wilaya ya Ngorongoro yatisha

    Ng'ombe watatu[emoji51] [emoji51] [emoji51]
  5. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya mahindi wilaya ya Ngorongoro yatisha

    Wakuu jana nilikuwa ktk pita pita zangu, ktk kijiji flani ngoro ngoro nikashtushwa na bei ya mahindi ambapo nilijaribu kuulizia bei ya debe moja nikaambiwa ni Tsh 28000.. kwa wastani wa sadolini moja utaona ni Tsh 7000/= wasi wasi wangu ni je? Wananchi wa hali ya chini wataweza kumudu bei hzii?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Jina langu ni miongoni mwa wanaotaka kutekwa, watekaji hawataona kaburi wala mauti yangu

    Mmmh hizi muvi sijui ztaisha lini!
Back
Top Bottom