Zitaisha pale watanzania watawashitukia hawa wahuniMmmh hizi muvi sijui ztaisha lini!
Lini hiyoLema kama anamjua Mungu asingempiga vitofali Samson Mwigamba au asingegoma kumpa mkono meya wake Lazaro Calist kisa eti analinyemelea jimbo lake la Arusha
mahakamani siku Lema anaachiwa aligoma kumpa mkono meya wa CHADEMA bwana Lazaro CalistLini hiyo
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema amesema jina lake ni miongoni mwa wabunge wanaokata kutekwa, aonya watekaji kuwa hawataona kaburi wala mauti yake.
Wakati huohuo yeye anamwandikia rais kuwa aliwakataza wabunge wa ccm kumtembelea poor politics, hizi propaganda tumezigundua kama ambavyo rais wetu kagundu na kaamua kuwaita abiriamahakamani siku Lema anaachiwa aligoma kumpa mkono meya wa CHADEMA bwana Lazaro Calist
Halafu wanamkejeri rais wetu kuwa ni dikteta wakati huohuo wao hawataki Lazaro agombee, safari hii mnalo chadomo, Arusha ni Lazro tutHah haha huu wimbo wa Bashe sasa naona kila mjinga anauimba ,Lema atekwe kwa kipi na nani amteke kwa faida ya nani,Lema kwake jela tu na si kutekwa.watu waache kutaka kuipaka serikali matope kwa sababu wanazozijua wao wenyewe,kama hawana ajenda za kuwatumikia wananchi wao basi wafunge mabakuli yao,kila siku ni kutafuta kiki za kijinga,badala ya kuwatumikia wananchi.Tanzania kwanza
Lema mtu wa ajabu sana..viongozi wenzake wa CHADEMA Arusha aliwapiga marufuku kumtembelea eti wanamfitinisha ubunge wake na wananchi wa ArushaWakati huohuo yeye anamwandikia rais kuwa aliwakataza wabunge wa ccm kumtembelea poor politics, hizi propaganda tumezigundua kama ambavyo rais wetu kagundu na kaamua kuwaita abiria
Kwani kuna ubaya gani. Mimi nilifikri unasema mnaweka mtu wa CCM achukue ArushaHalafu wanamkejeri rais wetu kuwa ni dikteta wakati huohuo wao hawataki Lazaro agombee, safari hii mnalo chadomo, Arusha ni Lazro tut