Recent content by Junior B.

  1. J

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Karma never losses an address Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Would you consider naming your kids after a place?

    Viena, Amsterdam, Brussel, Mogadishu,Tel Avi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    JamiiForums Tanzania Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

    Mkuu nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna watu wanona wamepatia maisha hasa wanaokaa seat za mbele kwenye daladala
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

    Hahaha usicheke kuna wanawake pasua vichwa ujue
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kura ndio huamua mshindi
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

    Sifa kuu ya mwanamke awe submissive sina maana ya kuwa zoba eti kila anachoambiwa aseme Yes, but awe msikivu ,mpole mwenye kuheshimu mume, sasa hayo wasomi wengi hawawezi wanafikiri kumtii mume ni kunyanyasika! Wengi wao kila kitu anajifanya ujuaji , ubishi, sasa nani aoe mtu wa hivyoo! Raha ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    Isijizungushe ktk muhimili wake na wala isizunguke jua yani rotation na revolution vyote visimame kwa pamoja je sisi binadamu tutadondokea wapi?? Juu chini au wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    Mkuu nmekupata naomba kuuliza ikitokea dunia ikasimama ghafla sisi binadamu tutaangukia wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kila kitu ni mpango wa Mungu?

    Ndo mana muhubiri alipata kusema yote afanyayo binadamu na kujihangaisha nayo chini ya jua ni ubatili mtupu na kujilisha upepo.
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Hii hata ktk sayansi ya mbegu Za mwanaume. Mbegu iliyobeba XY ambayo ya kiume inakufa mapema kuliko XX ya kike.
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    Mkuu hahahhhhaaaaa bonge moja la mbinu
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

    Kwa barca hata ukimpa wenger ataonekana kocha bora
Back
Top Bottom