We nawe unaandika bila kufikiria. We hujiulizi kwanini jeshi la polisi litumie mabomu ya machozi?. Sasa mwalimu mmoja angeweza vipi kupambana na wanafunzi wote. Mwanza sec unaifahamu au unajiandikia tu. Siku nyingine tumia akili, umejinadi kuwa we ni msomi sana sasa sijui umesomea wapi shule...
acha ujinga wako wewe, hiyo smart phone yako bora uigawe tu uliinunua kimakosa kwa maana hujui kuitumia. Unapokuwa unazungumza kitu zingatia vitu muhimu vilivyowekwa kisheria kwa ajili ya kuweka nidhamu ya pamoja. Mfano kwa mwanafunzi sheria za shule zipo zinaeleweka. Kwanza hebu nikuulize shule...
Huu ujinga wako usikurupuke kuuanika humu siku nyingine. Hujui mfumo wa elimu ulivyo mgumu tz. We umeenda kukagua miundo mbinu au kusoma??. Mbona kwenu unalala kwenye kijumba cha tembe haujalalamika. Kijana usitafute sifa za kijinga kilichokupeleka pale ni kitabu usitafute umaarufu kwa nguvu...
Umeanza vizuri ila mwisho umeandika utumbo. Unaweza kutuambia ni tajiri yupi kati ya unaowajua wamefikia hiyo hatua kwa imani za kichawi. Usipende kuandika kitu ambacho umeaminishwa toka ukiwa mdogo.
Kwa skyscraper, mwanza ipo juu kiongozi sema project ya NHC ikikamillika itaongeza value kwa arusha. Ila kwa wakati huu hata kesho bado mwanza itabaki kuwa juu labda baadaye sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.