Mimi nilikuwa naendelea na shughuli zangu kama kawaida , ikifika jioni muda wa kupunzika ndio naingia humu jamii forum, nikiona wadau wanasema kuna mkeka umetoka ndio naingia sasa kwenye website yao kuangalia jina langu.Sikua na utaratibu wakuingia kule bila kupitia humu.
Weka utaratibu kila...
Kuwa mvumilivu, niliomba ajira mwezi wa sita , interview nikafanya mwezi wa 11 , placement nikapata mwezi wa tano baada ya mwaka kupinduka, ajira rasmi nikaanza mwezi wa sita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.