Niliwahi kusema kwenye jamvi hili, baada ya Vikosi vya watu wasiyojulikana a.k.a Magaidi wa Mtukufu kumpiga Risasi Mh.Lissu, kwamba Damu yake na ile ya wote waliokwisha uawa/kupotezwa iko juu ya Ardhi ya Tanzania, Mungu atalipa kisasi kwa niaba yao, mdogo mdogo tutashuhudia kuweweseka kwao...