Huwa sipendi kuwahurumia wanafiki!Kwa muktadha huo,Kabendera na Lissu pambaneni na khali zenu!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Lissu alikuwa kiranja Mkuu wa kumkejeli Rais na kumtamka kwa majina mabaya baya!

Kabendera ndiye aliyetumia kalamu yake na magazeti ya nje ya Nchi kumkashfu Rais kwa mabaya mengi!

Sasa kwa kuwa mkweli kabisa mimi si sehemu ya kuwahurumia wale wote waliojitakia kwa yale yaliyowasibu.Acha tu wapambane na khali zao.

Mheshimiwa Rais ni sawa na baba wa familia na familia ina watoto,wajukuu na wengineo ambao kama wanadamu wanayo damu na baadhi yao lazima hawakupendezwa na kejeli zile!

Itoshe kusema kila mtu atavuna alichopanda!
 
Ni baba wa familia yako tu. Huyo ni binadamu na Rais kama alivyo Trump, Ramaphosa na wengine. Kama unamwabudu, msujudie nyumbani kwako...
Haijalishi.Ndiye Rais na Amri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
 
Lissu alikuwa kiranja Mkuu wa kumkejeli Rais na kumtamka kwa majina mabaya baya!

Kabendera ndiye aliyetumia kalamu yake na magazeti ya nje ya Nchi kumkashfu Rais kwa mabaya mengi!

Sasa kwa kuwa mkweli kabisa mimi si sehemu ya kuwahurumia wale wote waliojitakia kwa yale yaliyowasibu.Acha tu wapambane na khali zao.

Mheshimiwa Rais ni sawa na baba wa familia na familia ina watoto,wajukuu na wengineo ambao kama wanadamu wanayo damu na baadhi yao lazima hawakupendezwa na kejeli zile!

Itoshe kusema kila mtu atavuna alichopanda!
Usimzingizie raisi kwa vitu vilivyotokea
 
Kwamba unaota lissu atakuwa na hali ngumu kama yako

unapomtukana rais wa nchi, haumii yeye tu: hata wanaompenda na kumwombea wanaumia pia

Its simple, its logic
 
Wewe mleta Pumba hii, jitathmini vizuri kisha utagundua humu JF hapakufai!
Humu kumejaa watu wanaojitambua na wenye weledi usiyo na mashaka. Tafuta makundi ya saizi yako, ndugu!
 
unapomtukana rais wa nchi, haumii yeye tu: hata wanaompenda na kumwombea wanaumia pia

Its simple, its logic
Unapomtukana Lissu naye anao wanaompenda nao pia wanaoumia. Ila hakuna kuumia kunakohalalisha watu wengine kudhuriwa na wengine.

Lissu alishambuliwa kwa risasi nyie mnaoona ni sawa basi ni watu wabaya sana kama wale waliotuma watu waliokwenda kumshambulia.
 
Ni baba wa familia yako tu. Huyo ni binadamu na Rais kama alivyo Trump, Ramaphosa na wengine. Kama unamwabudu, msujudie nyumbani kwako... Hata huyo unayemwabudu, kuna siku atavuna alichopanda. Kama si duniani hapa basi kwa Mungu.

Ni wapi katika andiko lake huyo Ndugu eti ameonesha kuwa 'anamwabudu'???!!! JPM ndiye Rais wetu, Amiri Jeshi Mkuu, kioo cha taifa letu, kiongozi wetu mkuu hivyo ni lazima tumheshimu...Ni kweli huyo Kabendera apambane na hali yake...alitumia kalamu yake kumdhalilisha Rais alitumiwa na mabeberu...kuhusu tuhuma zinazomkabili sitaki kuzungumzia kwani suala liko mahakamani..Kuhusu Ndugu Lissu sikubaliani na tukio la kumpiga risasi..bila shaka uchunguzi utakamilika kutambua ni nani walihusika na kufikishwa ahakamani...Lakini tabia yake ya kumshambulia Rais kwa maneno na kuungana na mabeberu dhidi ya nchi na taifa letu kamwe siwezi kabisa kukubaliana naye.
 
Ni baba wa familia yako tu. Huyo ni binadamu na Rais kama alivyo Trump, Ramaphosa na wengine. Kama unamwabudu, msujudie nyumbani kwako... Hata huyo unayemwabudu, kuna siku atavuna alichopanda. Kama si duniani hapa basi kwa Mungu.
Naona mapambano yamewashinda sasa mwamwachia Mungu.
 
Unapomtukana Lissu naye anao wanaompenda nao pia wanaoumia. Ila hakuna kuumia kunakohalalisha watu wengine kudhuriwa na wengine.

Lissu alishambuliwa kwa risasi nyie mnaoona ni sawa basi ni watu wabaya sana kama wale waliotuma watu waliokwenda kumshambulia.

Kila siku nakuambia tuliza akili na hasa kama ni verified user

Rudia post zangu mara mbili au tatu uelewe

I HAVE MADE GENERAL STATEMENT; muanzisha thread kaeleza anacho feel na nimeeleza hivyo

Lissu alijiweka kwenye kona ya kudhuriwa na yeyote yule ili rais aonekane mbaya!!
 
Lissu alikuwa kiranja Mkuu wa kumkejeli Rais na kumtamka kwa majina mabaya baya!

Kabendera ndiye aliyetumia kalamu yake na magazeti ya nje ya Nchi kumkashfu Rais kwa mabaya mengi!

Sasa kwa kuwa mkweli kabisa mimi si sehemu ya kuwahurumia wale wote waliojitakia kwa yale yaliyowasibu.Acha tu wapambane na khali zao.

Mheshimiwa Rais ni sawa na baba wa familia na familia ina watoto,wajukuu na wengineo ambao kama wanadamu wanayo damu na baadhi yao lazima hawakupendezwa na kejeli zile!

Itoshe kusema kila mtu atavuna alichopanda!
Wasiojulikana tayari wamevuna walichopanda nyaulingo yupo hoi Hospt kavunjika miguu yote na mwingine alikufa kule mbeya
 
Back
Top Bottom