Recent content by jumawaziri

  1. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Tatizo la makelele kwenye nyumba za ibada

    Nikweli tumekua akuna pakusemea
  2. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa mtu

    Kwanza umri na uwezo wa kufikiri
  3. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Hivi kesho kuna mgomo wa Mabasi?

    Inchi hii mpaka raisi siku atangoma kazi
  4. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Makato ya DATA kwenye mitandao ya simu

    Nikweli mkuu mimi jana tu nilikua nanunu kifurushi cha OMG nashangaa imepanda ghalama cha week ilikua sh, 6'000 sasa ni sh, 8'000 kulikoni
  5. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Utani kidogo

    Ungempa nusu yake je? angezimia
  6. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Usiku ukilala umekunja miguu utakamatwa haraka, ila ukinyoosha miguu utakimbia fasta

    Unajuaje kama umekunja au umenyosha miguu wakati umelala
  7. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kutengeneza dawati

    Dawati moja tsh, 80'000/=
  8. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Je, kuwa na mtoto ni lazima?

    Ni lazima ndio maana wewe ukawepo, wazazi wako wasingeona kuna lazima wewe ungekuwepo
  9. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Watu Wanene wanakula sana kuliko watu Wembamba, Why?

    Akuna kitu kama hicho, kula kunatofautiana watu wembamba upenda kula kula kwa wakati mmoja na Wa nene hula kidogo kidogo
  10. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Fundi rangi njoo tuongee

    Inabidi nifike site ndio nikupe garama husika kulingana rain meter ya nyumba yako nipigie no, 0683447725
  11. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Wakwere, Wadengereko na Wazaramo watanipasua kichwa

    Wewe kabila gani? usiyekua na mila na utamaduni
  12. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 2 nahitaji gari Automatic

    Umeshapata? Kama bado corola limited 100 ipo na hali nzuri, tuwasiliane no, 0683447725
  13. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mimi natumia modem ya airtel leo siku 4 sijaweza hata download video moja, network iko slow
  14. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujuzwa

    Hiyo ni mimba
  15. jumawaziri

    JamiiForums Tanzania Msaada: simu yangu inakataa line ya TIGO

    Mimi pia HTC one v inasumbua tatizo kama hilo aisomi laini ya voda, msaada wakuu
Back
Top Bottom