Aisee mleta uzi tulikuzingua kumbe kweli gari za 2m zipo nyingi namna hii?
Kweli maisha rahisi.
Frank wiki ijayo hembu sukuma uzi wa kutaka gari la 1.5,naamini utapata.Maana kama 2m zipo nyingi hivi tena bila ku bargain basi ukisema 1.5 unapata pia.
Safi sana umetufungua macho wengine kwamba gari ni rahisi sana hasa hizi za kutembelea.
Ungefanya tu Suala la moja,ungepeta mtu njeya nchi akawa anakuletea Engine.Hapo ndio ungepeta.Maana zipo gari ambazo bodi kama mpya ila Engine ndio tatizo,sasa kama ukiset na Engine basi unauza bei nzuri sana tu.