Recent content by jumajs

  1. jumajs

    Wamarekani Wanawezaje kumtoa RAIS aliyeko madarakani kwa Ballot Paper? Yaani Rais ana CIA, FBI, Polisi na Jeshi lakini Rais anakaa Term 1

    TZ ndiyo rais wa 5 USA 46 tuna mambo mengi yakufanywe kabla kujiringanisha nao,ukifatiria marekakini na inchi zingine za ulaya kipindi wanajenga inchi zao walikua wanamatukio yakutisha & nayakibaguzi mfano masikin,mtu mweusi hakuruhusiwa kuchagua wa kutoa maoni,sasa wao wa me wamekua walimu ...
  2. jumajs

    Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Niwape pole vibaraka wote wanaojiita wanaharakati wa haki za binadamu ,kwa taarifa yao inchi yetu ipo salama na amani yakutosha kwa mwananchi anaefuata utaratibu wa sheria nawatanzania atupo tayari kujaribiwa na wapuuzi wa chache ,MUNGU IBARIKI TZ
  3. jumajs

    GE2020 Awamu ya pili wote tujiandae, mnaocheka mnaweza kuja kulia

    Acha tufurahi kwa raha zetu maana yajayo tunayajua wenyewe,(ASIYE JISHUGHURISHA ASILE WALA KUPEWA) mwisho wa kunukuu
  4. jumajs

    GE2020 Ila Mnyika aliona mbali sana kutogombea Ubunge

    Tatizo Lao muda wote wanarumbana tu na alieshaka mponi
  5. jumajs

    Zitto Kabwe: Sisi wanakigoma tunasema Kigoma kwanza kabla ya Tanzania

    Namashaka na welewa wako,kwahiyo kama eneno arichangii katika pato ta taifa wanainchi wake wanatakiwa kupotea
  6. jumajs

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chamuhimu 3point
  7. jumajs

    JWTZ yazungumzia kurejeshwa kwa miili ya askari waliokufa DR Congo

    Wapumzike kwa amani askali wetu.Najiuliza hawa tunao wasingizia wahasi NA kuendelea kupoteza RAIA na Askali UN wachunguze kwa umakini kuna watu wengine nyuma ya uasi
  8. jumajs

    Mimba ilikuwa furaha zamani, nini kinafanya sasa isiwe furaha?

    Hapo zamani mwanamke alikuwa akipata ujauzito kila mtu alifurahi na kupongezwa na kila mtu isipokuwa wale waliokuwa na roho za korosho. Miaka ya sasa imekuwa tofauti mwanamke akipata mimba huenda hata aliyempa akakimbia, ikatolewa au akazaliwa na kutupwa. Je, wazamani walikuwa washamba?
  9. jumajs

    Kitendo Cha Wasanii Kuitikia Wito na Kuwekwa Mahabusu ni Doa

    Nawakibainika wana kisa sheria anafata mtaro wake
  10. jumajs

    Kitendo Cha Wasanii Kuitikia Wito na Kuwekwa Mahabusu ni Doa

    Hawakukamatwa Bali waliitwa kufanyiwa mahojiano
Back
Top Bottom