Recent content by Juma123

  1. J

    Kama wewe unataka kuepuka maumivu katika mapenzi hii inakuhusu

    Nimejinunuklia iPhone 7 plus, ni kweli
  2. J

    Wanaume wa Dar, hili neno lina maana gani?

    Kama huna jibu, acha wenye majibu waje
  3. J

    Wanaume wa Dar, hili neno lina maana gani?

    Naona hilo neno la Wanaume wa Dar ni buzz kwa sasa, je lina maana gani?
  4. J

    Mwinyi: Mabasi ya mwendo kasi ni ureda (uroda)

    Halina utata wowote,ila watanzania ndiyo watata wakalichukua neno la watoto uroda, na kutoa tafsiri wanayoijua wao
  5. J

    Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

    Rudi nyumbani ILI utie akili
  6. J

    Kuondolewa kwa 'Presidential dentetion Order' ni sababu kubwa kwa ongezeko la Wizi Ufisadi nk.

    Yaani Tanzania Inawajinga wengi, lini hiyo sheria ilifutwa? Mtoa mada tuambie Bunge lipi hilo?
  7. J

    CRDB ni matapeli?

    Ni hela na si ela
  8. J

    Waziri na Katibu Mkuu Wizara ya Afya mna maslahi gani NTLP

    Wajinga wengi tanzania, wala hata haoni maono ya Awamu ya Tano Tanzania kuwa a donor country
  9. J

    Waziri na Katibu Mkuu Wizara ya Afya mna maslahi gani NTLP

    Oh wewe ndiye mtoa mada au?
  10. J

    Waziri na Katibu Mkuu Wizara ya Afya mna maslahi gani NTLP

    Ni kweli huo ndiyo utakata mzizi wa fitna, na kuwa funzo kwa waongo wengine
  11. J

    Waziri na Katibu Mkuu Wizara ya Afya mna maslahi gani NTLP

    Kwa JPJM kwa waosemwa hao ndiyo anaowataka, maana anajua hayo ndiyo majembe yake, rejea Hotuba ya Mhe. RAIS Kinyerezi wakati wa uzinduzi wa BOMBA la Mafuta kuhusu Prof Mhongo na Makonda. Wavivu wote suala la majungu halina nafasi kwa Ngosha pigeni kazi kwa ueledi, fanya kazi bila ya kutegemea...
  12. J

    Waziri na Katibu Mkuu Wizara ya Afya mna maslahi gani NTLP

    Soma comment yangu, tuko pamoja, ninamshangaa huyo na habari ambayo ukiiangalia una ona ni jungu lisilo na ukweli, habari imejichanganya sana
Back
Top Bottom