Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,726
Wakuu hii bank sijui inafanyia nini mishahara ya watumishi wa uuma maana mpaka leo hawajaweka pesa. Naamini kuna kamchezo kanaendea... Hazina nao wako kimya sasa sijui kama wanashirikiana katika hili au kunanini? Mzee Kimei leta pesa zetu acha kutuchezea please.