Mimi sitaki kusema mengi jamani ila kila mtu anajua mapenzi yanavyoumiza, hebu tupeane njia za kuinjoy mapenzi bila stress.Labda kuna njia ya kuweza kuzuia maumivi jamani, kwa yeyote anayefahamu namna ya kujizuia na haya maumivu.
Wakuu kwanza naomba ufafanuzi hivi kweli kuna mba wa kurithi? maana unaweza kukuta mtu msafi lakini mba unajitokeza
Pili ipi dawa ya mba inayotibu kiuhakika maana nshatumia hizi whte field tubes lakin wapi
Kwa anayejua anijuze tafadhali
Wewe unaangalia TBC wakati wenyewe mbeya city wamepost kwenye page yao mwambusi yupo nani mkweli kati ya wewe Tbc na mbeya city yenyewe bado kuna walakini kwenye thread yk
kwakuwa ushajua aina ya mwanaume anayekuoa sasa unauliza nini? Wewe vumilia tu akuletee ukimwi na watoto wa nje hayo mapenzi yako kwa kiswahili safi yanaitwa "mahaba niue"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.