Simba ya leo

Simba ya leo

Viongozi wa simba walifanya ujinga sana kwa kumsajili okwi na kumtema musoti wakidhani kuwa timu imara inajengwa na foward wazuri pekee wakasahau kuwa timu bora hujengwa na sehemu tatu yaani beki, kiungo na foward...na miongoni mwa watu ambao hanafanya usajili wa kijinga pale simba ni pamoja na hans poppe,,,,acha tu watengeneze hayo madroo mpaka wakome mwaka huu..

We mnafiki sana.Si magoli yote yamesababishwa na kutokuwepo kwa Mosoti. Dogo mbona anacheza vizuri sana au huwa ufatilii mechi LIVE PITIA AZAM TV
 
Sidhani kama analysis yako inajitosheleza
Huwezi kukubali, kwa sababu hiyo ndo sifa mojawapo ya watu wanaoipenda simba mara nyingi wanakuwa wabishi na hii inatokana na kutokujua mpira vizuri,
kwa wanaofahamu mpira vizuri watakuwa wamenielewa.....
 
Tukiongelea upinzani kwa sasa upo kwa AZAM na MTIBWA YANGA MBEYA CITY lakin si team kama SIMBA ambayo bado inasuasua kila mechi inatoa droo

mechi tano bila kujua tatizo nn huku viongozi wakitupiana lawama
tulikuwa tunamtaka Okwi tumepata kocha mzoefu na mashindano PHIRI tuanae aaaah amakweli simba uyu hang'ati hata umchezee sharubu zake

hadith yako intufundisha nini?
 
We mnafiki sana.Si magoli yote yamesababishwa na kutokuwepo kwa Mosoti. Dogo mbona anacheza vizuri sana au huwa ufatilii mechi LIVE PITIA AZAM TV
Huwezi kujua mistakes za huyo dogo unaemsema kama si mtaalam wa mambo ya mpira, najua wewe ni mfuatiliaji ila haufahamu mpira kiundani..
 
Viongozi wa simba walifanya ujinga sana kwa kumsajili okwi na kumtema musoti wakidhani kuwa timu imara inajengwa na foward wazuri pekee wakasahau kuwa timu bora hujengwa na sehemu tatu yaani beki, kiungo na foward...na miongoni mwa watu ambao hanafanya usajili wa kijinga pale simba ni pamoja na hans poppe,,,,acha tu watengeneze hayo madroo mpaka wakome mwaka huu..
Huo usajili wa Okwi ulikuwa ni wa muhimu sana pengine kuliko usajili wowote uliofanyika mwaka huu, ukichukua umuhimu wa nani aachwe kati ya Musoti na Okwi mtu yeyote anayejua mpira angekwambia aachwe Musoti, ni rahisi sana kupata mchezaji aina ya Musoti lakini ni ngumu sana kupata mchezaji aina ya Okwi hapa nazungumzia jitihada uwanjani.

Msimu uliopita mzunguko wa pili tulikuwa na Musoti pale kati lakini timu iliharibu mechi nyingi sana ukilinganisha na mzunguko wa kwanza kipindi Musoti hakuwepo kwa maana nyingine logically uwepo wa Musoti ulisababisha timu kufanya vibaya.

Ukija msimu huu magoli yote matano yaliyofungwa Okwi kachangia sana upatikanaji wa hayo magoli na matano yaliyofungwa hata kama Musoti angekuwepo yangeweza kufungwa tu, rejea msimu uliopita na Musoti ukiwepo.

Kufanya vibaya kwa timu sasa hivi sio sababu kwamba Musoti hayupo maana alikuwepo na timu ilikuwa inafanya vibaya vile vile.
 
Ubora wa timu haupimwi kwa mechi ngapi haijafungwa bali ni mechi ngapi imeshinda ndio maana Simba haijafungwa lakini iko nafasi ya chini kabisa katika msimamo wa ligi. Kwa kifupi iko nafasi ya 10 kati ya timu 14.
Tatizo watu hamuangalii maudhui ya thread. Mleta mada amesema kwamba Simba ipo chini kwenye msimamo wa ligi KWA HIYO UPINZANI WAO HAUPO KABISA isipokuwa umebaki ni wa Yanga, Azam, Mtibwa na Mbeya City. Mimi nikamuambia kwamba kwa wanaojua soka, upinzani haupimwi kwa kuaangalia nafasi ya timu katika msimamo wa ligi, na ndio maana sio ajabu kuona Yanga anaichapa Stand United goli 3-0 huku akitoka sare ya 0-0 na Simba, lakini Simba na Stand United walitoka 0-0.

Kwangu mimi, upinzani utatoka popote tu, ndio maana Ruvu ikiwa katika nafasi ya chini kabisa imeichapa Azam iliyokuwa juu kabisa. Sasa iweje uiondoe Ruvu kwenye timu zinazoleta upinzani? Cha ajabu hata Mbeya City aliyoitaja ipo chini ya Simba!
 
Ukweli ni kwamba gap sio kubwa sana ndio maana Yanga kashinda mechi moja tu kapanda juu sana, wasiwasi wangu ni kwamba Simba inapoelekea ni pabaya zaidi kwa sababu wameshaanza kuangushia watu jumba bovu kwa maamuzi ya hasira na si busara, mchezaji kucheza hovyo kwa mechi moja ni jambo la kawaida sana hasa inapokuwa kwa mkongwe kama Kiemba ambaye hajapumzishwa iwe ni kwa klabu au timu ya Taifa hata hizo shutuma kwamba ile mechi ya starz alicheza vizuri nazo si za kitaalamu kwani timu nzima siku ile ilionekana NZURI kwa kushinda

Hali mbaya sana ni kwamba kuna njama zinapangwa za kumuangusha Aveva ambazo kama zitafanikiwa ni kwamba akina Aveva nao (Friends) watapanga njama za kuwaangusha watakaoshika timu..........(cycling) hatari zaidi hapo ni kwamba wao ndioa wamesajili kwa asilimia kubwa

NAIONA SIMBA IKIJIHATARISHA KUSHUKA DARAJA .............lol

Tulizoea timu zetu kushinda kimchekea sana (kwa kuhonga etc) ukweli ni kwamba kwanza wachezji wa timu hizi hawapishani sana viwango, wengi ni vijana wenye ari ya kucheza, soka la Tanzania limekua na hamasa kubwa (uwanja mzuri na mechi kuoneshwa LIVE) kila mchezji akitaka kung'aaa, hivyo upinzani wanaokabiliana nao Simba ni wa kawaida tu kimchezo sema hatujazoea hali hii...Hat timu yangu Liver huko UK inakamatwa sana na vitimu sasa hivi.

TUkubali ukweli kwamba timu zinasajili VIPAJI na si MAJINA siku hizi (UHAI CUP, COCACOLA etc) the CASE of Mtibwa Sugar etc
Unachosema ni kweli ndugu yangu lakini vile vile kumbuka UJINGA WA MACHEZAJI YA TANZANIA HUWA KAKITOKEA KAMGOGORO HUWA HAYAJITAMBUI. Yanatumika sana huwa hayawezi kufuata mambo ambayo mwajiri anataka. Kiemba alisitahili kuondolewa kwenye kikosi bila ku publicise, performance yake ilikuwa mbovu sana na ndo aliyesababisha goli kwa kukaba lege lege wakati alitakiwa ku clear. Nasema wangepumzishwa bila kutangazwa!
 
Huwezi kujua mistakes za huyo dogo unaemsema kama si mtaalam wa mambo ya mpira, najua wewe ni mfuatiliaji ila haufahamu mpira kiundani..

Huo Utalaam waWatanzania wa kwenye kahawa nao ni Utalaam?
 
Kiemba akicheza simba Haishindi by zacharia hans pope.
 
Hao Yanga, Azam, Mtibwa na Mbeya City wameichapa Simba goli ngapi? Timu zako hizo zote kasoro Mtibwa tu, zimeshafungwa mechi moja au mbili, lakini Simba haijapoteza mechi hadi sasa! Kwa wanaojua soka wanaelewa maana ya derby, ila kwa watu kama wewe mnaangalia matokeo! Derby huwa haifi hivi hivi, labda timu moja iwe haipo katika daraja husika kabisa!

nakwa wanao jua mpira zaidi yako nikimaanisha hesabu za kimpira ni bora upoteze na kushinda kuliko ku droo na haushindi..wewe una count one wenzako three haya chukulia na goal difference we karibia kila mechi unaruhusu wavu kutikiswa na haushindi mwezako anaruhusu wavukutikiswa na anashinda
 
nakwa wanao jua mpira zaidi yako nikimaanisha hesabu za kimpira ni bora upoteze na kushinda kuliko ku droo na haushindi..wewe una count one wenzako three haya chukulia na goal difference we karibia kila mechi unaruhusu wavu kutikiswa na haushindi mwezako anaruhusu wavukutikiswa na anashinda

uyu atakuwa ajui utamu wa kushinda ndio maana anajifariji
 
leo hii wanamuona kiemba mbovu awakumbuki kuwa kiemba ndie alieisaidia team msimu uliopita
 
jamani kwani mchezaji akishuka kiwango,anafungiwa?! kwani benchi lina kazi gani,nyie simba HANS POPE atakusumbueni sana.
 
weeee utaiona simba ngoja ligiianze mtaisoma ila nikipata no ya viongozi kuna mchezaji simba mzuri sana kulikokaseke lakini hawamchezeshi
 
Back
Top Bottom