Huyu mwanaume anavyonisaliti vibaya

Huyu mwanaume anavyonisaliti vibaya

Nna mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nna ujauzito miez mitatu. Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara...ana wanawake km 6 hv tofauti na kibaya zaid anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali...mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee pamoja. Tatizo nawaza je..hv na yote machafu ya kuwa na wanawake wengi pembeni nikikaa nae ndio atatulia kulea mimba au ni bora kukomaa kuishi kwetu na wazazi wangu?

Kwani una uhakika upi kuwa na wewe sio mchepuko wake?
 
Hao wanawake amekuwa nao kwasababu ya gap ya wewe kuwa mbali. Msiwe mnatuhukumu bila resoning. Wala usimlaumu hamia kwake halafu mwambie ukweli kwamba unajua yote ila ajitune sasa kuwa ni baba na alichokuwa akitafuta nje sasa kipo ndani full time. Ila wewe sasa uongeze ubunifu wa huduma ndani ili mwenzio aridhike na afute wengine akilini. Siyo unanukia mikojo ya mtoto hujui kujisafisha, unahoji mambo kama polisi na mtuhumiwa ukitegemea kufurahia ndoa. Kuwa mvumilivu ndoa inajengwa siyo automatic.

non sense..................................
 
umeingia choo cha kiume utolewe mahari mwaka jana na hadi leo hujaolewa,kweli kazi ipo
 
nna mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nna ujauzito miez mitatu. Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara...ana wanawake km 6 hv tofauti na kibaya zaid anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali...mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee pamoja. Tatizo nawaza je..hv na yote machafu ya kuwa na wanawake wengi pembeni nikikaa nae ndio atatulia kulea mimba au ni bora kukomaa kuishi kwetu na wazazi wangu?

kwakuwa ushajua aina ya mwanaume anayekuoa sasa unauliza nini? Wewe vumilia tu akuletee ukimwi na watoto wa nje hayo mapenzi yako kwa kiswahili safi yanaitwa "mahaba niue"
 
Sio lazima kua nae Kama moyo wako hautaki, na shosti inakuwaje harusi bado na mimba umesha beba? Ivi unadhani kuvishwa Pete au kutolewa mahari ndio kuolewa? Asikupe adhabu na mateso baki kwenu ila Kama una mahaba nimalize hapo tena pole....
 
Vitu vingine vinashangaza sana...hivi huwa unafikiria kwa kutumia ubongo upi?...Yaani uchafu wote umeshauona, bado umebeba mimba na bado ukamruhusu aje akutolee mahari?....Unajaribu kujichimbia kaburi lako mwenyewe?
 
Nna mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nna ujauzito miez mitatu. Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara...ana wanawake km 6 hv tofauti na kibaya zaid anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali...mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee pamoja. Tatizo nawaza je..hv na yote machafu ya kuwa na wanawake wengi pembeni nikikaa nae ndio atatulia kulea mimba au ni bora kukomaa kuishi kwetu na wazazi wangu?

Yaani una mwanaume si mwaminifu na misururu ya wanawake sita bado ukampanulia bila hata condom? How dare you risk your life that simple ? Ungekuwa dada yangu ningekupa neno moja usingelisahau. Usikaribishe HIV kirahisi namna hii. Hivi ulishashuhudia ndugu au rafiki au hata jirani mwenye VVU anavyotamani wengine wasipate? Ingia ucheze ndipo ujue utamu wake. Take my words leave them is up to you.!!!
 
Kaa naye ila akikusaliti nawe msaliti. Fitaa ni fita muraaa!
 
Binti usituchoshe. Miaka 5 tabia unazijua na umeamua kubeba uja uzito. Hamna cha kukushauri endelea nae tu awe mumeo.
 
acheni masihara na ndoa ukiolewa inakubidi utulie huko ndani hajaolwa ameshaanza kutompenda heri awe na msimamo kabla yakufunga pingu

Inawezekana kuna sababu zinazomfanya atoke nje. Matatizo mengi yanawakumba wanawake pindi wanapokua wajawazito
 
Nahisi kichwa chako kimejaa mchuzi badala ya ubongo...
Maana ungekuwa na ubongo hata wa mende tu...ungejiona jinsi gani ulivyo mjinga..
Kwa kifupi ngoja nikutoe gizani huyo jamaa amechoka kufua majinzi yake na kufagia na usafi kwa ujumla kwa hiyo anahitaji housegirl.....ambaye ni wewe apo...
HAKUNA KOSA KUBWA KATIKA MAHUSIANO KAMA KUTOKUWA MUAMINIFU....

Duh hii kweli kabisa....fuatilia huu ushauri kwa undani utaona ni ishu ya kweli
 
Nahisi kichwa chako kimejaa mchuzi badala ya ubongo...
Maana ungekuwa na ubongo hata wa mende tu...ungejiona jinsi gani ulivyo mjinga..
Kwa kifupi ngoja nikutoe gizani huyo jamaa amechoka kufua majinzi yake na kufagia na usafi kwa ujumla kwa hiyo anahitaji housegirl.....ambaye ni wewe apo...
HAKUNA KOSA KUBWA KATIKA MAHUSIANO KAMA KUTOKUWA MUAMINIFU....

Asante kwa kuniwakilisha
 
Ametoa mahali mwaka jana leo tuko November jamaa bado hajaoa??? Hiyo pete ya engagement bado haijabadilika rangi?? Juu ya hayo umekuwa ukijua kuwa jamaa sio muamifu lakini bado umebeba ujauzito...I think you are desperate, umeilazimisha sana hiyo ndoa(no).

Bidada amekua Lord of the rings
 
Ungekua mwanafunzi
Bakora zingekuhusu

Haaaa miaka 5 bado tu hustuka basi usitegeme kustuka

Hapa watakuchosha kusoma maelezi yao
 
michepuko 6?aah hizi ndio ndoa ndoano! kwa kuwa tayari una mimba vinginevyo ningekushauri uolewe kutoa mkosi yakiwa mazito warudi kwenu, michepuko mwenyekiti wa lililokuwa bunge la katiba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom