Walimu wa vyuo hasa hivi Vyuo za utabibu jaribuni kuwa na mpangilio mzuri wa ufundishaji maana kuna baadhi ya wanafunzi wanakua wanarudi nyumbani kutokona na mpangilio mbaya wa mtaala na ratiba ndani ya chuo.
Kuna baadhi ya wanafunzi tulichaguliwa na TAMISEMI Kwenda chuo lakin hatuku verify kutokana na kutokua na uelewa na changamoto nyng za kimaisha, nn kwa namna gani tunaweza fanya kutudisha nafasi zetu kwa huu mwaka
Mim nilichaguliwa na TAMISEMI mwaka 2019 kwenda chuo cha utabibu maswa, lakini sku verify kua ntafika chuoni apo kutokana na kutokua na ufahamu na simu yenye kushika internet. Kama na ww umekutana na tatizo kama hili weka mawazo tuone tunafanyeje au wenye ushauri tusaidie
Mkuu kua na adabu na heshima usije ukarudia kusema kua pro kabudi ana njaa au watanzania wana njaa, ni kheri kufa na njaa lakin so kukubali kuvuliwa nguo sokoni , hii ni nchi na sio kijiji weka akili hii na kingne 2025 tanzania ni kitu kingne tofauti na unavyozani,
Asantee mungu kwa kutupa...
Hahhhhh muambie maana ni bora yeye anaejukomba kwa mzee kukiko kujikomba kwa mabeberu ambao mpk sasa wanaitaka nchi kupitia kijana wao mtiifu Tundu Lissu
Kusema kua kuna hela ililiwa na watu X, hela ambayo ilikua ipo kwa ajili ya covid 19 ukiwa una ushahidi na unaongea porojo kwa hii serikali ni kama kuku anaefukuzwa kweny mchele ulio mwagika, hyo statement ungeuliza hv hela ya covid 19 iliyotolewa na jumuiya ya kimataifa serikali ili itumiaje...
Katika maisha ata kama unacho kidogo jitahid kukisimamia hicho hicho, lakin pale unapo acha mwanya afu mtu mwingine anataka akutawale kifikra apo unaweza jikuta unapoteza kila kitu
Sasa pro. Kabudi yeye alichokifanya ni kusimama katika kile anachokiamini kama kiongonzi mwenye maono ya mbali...