Zaidi ya Shilingi Bilioni 44.5 za Michango ya COVID-19 zimeliwa?

We wa buku 7 huna ulijualo
Wewe ndiyo zero kabisa. Unaamini huyo mjumbe mmoja wa Kamati ya Bunge la EU ataleta impact kwenye Bunge zima la EU. Na ameshajibiwa na viongozi EU tayari
Ihihihihihihiiiiii unatia huruma sana , suo mbaya ila hii ndio kazi ya dekio
Huna hoja wewe una cheka kama zuzu tu. Endelea kusubiri resolution ya Bunge la EU kama utaliona!
 
Habari zilizopatikana wiki hii kutoka Kamati ya Fedha ya Bunge la EU, kuna maswali kuhusu fedha iliyotolewa kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia maafa yatokanayo Covid 19 zilitolewa kwa misingi ipi? Inaonekana wana wasiwasi na matumizi ya fedha hiyo. Je, nayo imeingia tumboni street?
 
Kweli hawa nyumb ni shida kwenye uchaguzi na corona walifeli sasa wanakuja na ajenda nyingine
Laiti ungekuwa unajali na kuheshimu utu, heshima,uhai wako usinge andika hicho "Kitanzi": chunga sana kauli zako Hatuigizi Mjusi ww.....(wenyewe wanajijua siyo wenye Mkuu Magu2016)
 
Habari zilizopatikana wiki hii kutoka Kamati ya Fedha ya Bunge la EU, kuna maswali kuhusu fedha iliyotolewa kwa Tanzania kwa ajili ya kusaidia maafa yatokanayo Covid 19 zilitolewa kwa misingi ipi? Inaonekana wana wasiwasi na matumizi ya fedha hiyo. Je, nayo imeingia tumboni street?
Wajinga ndiyo waliwao - tumewaambia hatuna corona! Wenyewe wsnatulazimisha hela!
 
Laiti ungekuwa unajali na kuheshimu utu, heshima,uhai wako usinge andika hicho "Kitanzi": chunga sana kauli zako Hatuigizi Mjusi ww.....(wenyewe wanajijua siyo wenye Mkuu Magu2016)
Hopeless comment ever! Mimi niko tayari kwa lolote kwa kutetea utaifa na taifa langu Tanzania. Wewe kibaraka na mabeberu wako hamnitishi kwa lolote!
 
Naleta kwenu wakuu, tujiulize pamoja lakini tuitake serikali itoe mrejesho wa hizi pesa zimeenda wapi hasa?

Nakumbuka Watanzania walichanga maafa ya Kagera lakini serikali haikuwajibika vya kutosha na hili likabaki kuwa doa lisilofutika miongoni mwa Watanzania.

Wengine wanahisi kuwa inawezekana zimetumika kenye kampeni ndio hizo wananchi wanagawiwa 5,000 hasa wale wanaosombwa kutoka maeneo tofauti na inapofanyikia mikutano ya CCM.

Hapa chini nimeweka baadhi ya watu, makampuni na taasisi za ndani na nje zilizojikamua kutoa michango hiyo. Nimeambiwa washiriki kwenye michango walikua zaidi ya 15 mbali na hawa niliowaorodhesha hapa chini...

APRIL 8, 2020: On 8th April 2020, Civil Society Organizations (CSOs) combined forces to support Government initiatives in the fight against the Covid-19 outbreak in Tanzania. Collectively the CSOs raised over TZS79 million. The funds were handed over to the National Relief Fund through the Prime Minister’s Office. The CSOs that contributed the funds are Foundation for Civil Society (FCS), Legal Services Facility, (LSF), Women Fund Tanzania Trust, Save the Children, African Philanthropy Network (APN), Wajibu Institute, Twaweza, Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA) and Children’s Dignity Forum. This was a show of solidarity from the various CSOs, demonstrating that they too can come together to respond to the crisis that has hit the country.

APRIL 8,2020: Dar es Salaam, Tanzania – Twiga Minerals Corporation, a joint venture between Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) and the Tanzanian government, has announced a support program to assist the country in combating and containing the Covid-19 pandemic. Barrick’s chief operating officer for its Africa and Middle East region, Willem Jacobs, said in addition to measures already introduced to protect workers and their families living and around its mines, the company was contributing $1.7 million equivalent to Tsh 3,9bil in the form of critical equipment and expertise to help prevent the spread of the virus in Tanzania.

APRILI 9, 2020: Wadau mbalimbali wa Tanzania wamechangia vifaa vya matibabu, vifaa vya kiteknolojia na fedha taslim vyenye thamani ya karibu dola za kimarekani milioni 2.7 ili kuisaidia nchi hiyo kupambana na virusi vya Corona. Hii ni takribani sh Bil. 6.2. Baada ya kupokea michango hiyo waziri mkuu wa Tanzania Bw. Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watanzania kufanya kazi kwa pamoja na kwa juhudi zaidi ili kudhibiti virusi vya Corona. Taarifa inayotolewa na ofisi ya waziri mkuu imetaja kuwa kampuni ya Huawei ya China imechangia vifaa vya mikutano ya video.

APRILI 14, 2020: Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amepokea hundi ya mfano ya Mil.500 kutoka kampuni ya Export Trading Group (ETG) zikiwa ni msaada kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu unaotokana na maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID-19) nchini. Waziri Mkuu amepokea msaada huo Jumanne, Aprili 14, 2020) ofisini kwake Mlimwa, Jijini Dodoma, kutoka kwa Mkurugenzi mkazi wa ETG, Bw. Nilladri Chowdhury aliyefuatana na maafisa uhusiano wa kampuni hiyo, Bw. Frank Mtui na Bi. Fatma Salum Ally. Akizungumza mara baada ya kupokea kupokea msaada huo, Waziri Mkuu amewashukuru watendaji wa kampuni ya ETG kwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya virusi vya corona, ambapo hadi sasa kesi 49 zimeripotiwa tangu kuanza kwa ugonjwa huo nchini na wagonjwa saba wameshapona.

APRILI 24, 2020: Na. Andrew Chimesela, Morogoro. Wadau mbalimbali wa maendeleo wakiwemo wafanyabiashara Mkoani Morogoro wameanza kutekeleza ahadi zao za kutoa michango ya fedha na vifaa ili kusaidia kupambana na ugonjwa wa CORONA kama walivyoahidi Aprili 21 mwaka huu waliposhiriki kikao cha kujadili namna ya kupambana na ugonjwa huo Mkoani humo.. Wadau hao wameanza kutekeleza ahadi hiyo leo Aprili 24 kama walivyoahidi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare siku ya kikao cha Aprili 21 mwaka huu na leo baadhi ya wadau hao wamefika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kutoa fedha na vifaa mbalimbali vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi Mil.140.

MAY 10,2020: Shell Exploration and Production Tanzania Ltd and partner Pavilion Energy were part of the country’s national efforts and support the Government of Tanzania’s response to the novel coronavirus (COVID-19). We joined hands with other stakeholders across the country to contribute the urgently needed medical supplies (specifically personal protective equipment [PPEs] for the country’s frontline workers) worth 380mil. Shell and Pavilion recognize the efforts made by healthcare workers, nurses and doctors across the country. Commenting on the donation, Mr. Frederik Grootendorst, Managing Director and Country Chair of Shell in Tanzania said, “We commend the steps and efforts taken to date by the Government of Tanzania and wanted to express our continued support in the fight against COVID-19.”

MEI 4,2020: Tanzania: Wadau Wachangia Mil.150 Kupambana na COVID-19. Mhe. Jenista Mhagama amepokea msaada wenye thamani ya sh. milioni 150 zilizotolewa na kampuni tatu zinazozalisha nguzo za umeme nchini kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi Virusi vya Corona, COVID- 19. Michango hiyo imetolewa na kampuni Mufindi Woodpoles Plant and Timber Ltd, Qwihaya General Enterprises Co. Ltd na Poles (T) Ltd ambapo kila kampuni imetoa sh. milioni 50.

JUNE 10, 2020: IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust. The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3 million over the next 4 months, and potentially up to US$25.7 million over the next 23 months. IMF debt service relief will help free up resources for public sector health needs and other emergency spending, as well as mitigate the balance of payments shock resulting from the pandemic.

JULY 13, 2020 by Tanzanian Diaspora in USA, Organizer. MKUTANO WA MREJESHO WA KAMPENI. Salam friends, Tunatarajia tumekufikia ukiwa na afya njema. Tunapenda kukujulisha kwamba, kupitia msaada wako, tumekamilisha ukabidhi wa misaada Tanzania. Karibu upate mrejesho kutoka kamati ya kampeni, mafanikio na mafundisho, asante na salamu kutoka kwa viongozi wa afya mikoani. Hawa walifanikiwa kuraise jumla ya $31,024 ikiwa ni takribani Mil.72

Nina hakika serikali inapitia sana humu kwa hiyo itawajibika kwa Watanzania kwa kutoa ukweli kuhusu swala hili.
@TunduALissu

NAWASILISHA!
Inasikitisha na kukatisha tamaa kuona raia wanatapeliwa na serikali yao. Kilichobaki ni kunyong'onyea tu. Hatuna la kufanya. Ukiinua kichwa tu, unatukanwa na kugongwa rungu. Kutegemea ukombozi kupitia sanduku la kura nako kuna jehanam. Nani ajua la kufanya?
 
Hii michango yote imeliwa, hakuna cha kupepesa macho!

Nchi hii inahitaji ukombozi kwa kila nyanja.
Ndio maana wanang'ang'ania kubaki madarakani kwa kilan hali ije mvua , liwake jua au upepo wa kisurisuri, ndio maana wapo tu na bado wanataka kuendelea kutawala... kwa kweli wameshikwa pabaya... Mzinga wa nyuki umelushiwa mawe...
 
Kusema kua kuna hela ililiwa na watu X, hela ambayo ilikua ipo kwa ajili ya covid 19 ukiwa una ushahidi na unaongea porojo kwa hii serikali ni kama kuku anaefukuzwa kweny mchele ulio mwagika, hyo statement ungeuliza hv hela ya covid 19 iliyotolewa na jumuiya ya kimataifa serikali ili itumiaje, kuuliza kama haki yako ya msingi lakin so kua una shutumu serikali ambayo inauletea maji nyumban kwako na umeme hali ya kua huko nyuma ulikua unapata tabu
 
Inasikitisha na kukatisha tamaa kuona raia wanatapeliwa na serikali yao. Kilichobaki ni kunyong'onyea tu. Hatuna la kufanya. Ukiinua kichwa tu, unatukanwa na kugongwa rungu. Kutegemea ukombozi kupitia sanduku la kura nako kuna jehanam. Nani ajua la kufanya?
Hii ni mbaya sana mkuu
 
Back
Top Bottom