Nimekukubali saana kiongozi. Wakenya Soon wataomba lift bongo. Maana baada ya kumaliza miundominu inayojengwa hapa bongo kwa hela za ndani. Basi Kenya watauziwa mpaka mchanga
Serikali iliyopo madarakani ipo makini sana, nafurahi kuona kuwa Rais anahitaji nchi hii ipambane kimaendeleo na mataifa active kwa maendeleo. Nadhani tuwe na sera nzuri zaidi ili tuweze kupambana vizuri maana licha ya Uganda kupitisha bomba lao kwetu, bado zipo nchi nyingine zitataka kufanya...
Nadhani mh rais apewe muda kidogo angalau mwaka hivi ili tujue dhamira yake, hadi sasa ni mwezi wa nne tangu awe madarakani ni kiasi kidogo sana kilichokombolewa sasa si rahisi kuweza kukifanyia budget kuweza kutuwezesha wananchi wake haraka hivyo, ila nadhani mh. Aangalie maeneo muhimu zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.